Mimi shabiki wa Yanga, nimembatiza jina Skudu kuwa Skubiduu (Scooby-Doo)

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jambo Jambo?

Wote tunafahamu kuwa skubiduu(Scooby-doo) wa katuni yetu pendwa alikuwa na bado anaendelea kuwa kichekesho kwenye luninga na vipindi vya watoto.

Basi na mimi kama shabiki maandazi wa Yanga na kwa kuheshimu mapenzi ya dhati ya uongozi kwa kutusajilia Famba hili nauungana nao kwa kumbatiza jina la SKUBIDUUU.

Wote tunategemea vichekesho kutoka uwanjani leo.

IMG_7899.jpg

IMG_7902.jpg

IMG_7901.jpg

KILA LA HERI TIMU YANGU YA YANGA

-SHABIKI MAANDAZI WA YANGA
 
Hivi aligusa mpira jana..? Maana nilikua nasikiliza kwa mtangazaji wa kiingereza hajamtaja hata mara moja kwa dkk 45..au huko wa kiswahili alimtaja?
 
Siku zote sikuwahi kujua kama wewe ni mlemavu wa macho, ila leo ndio nimejua kuwa ni kipofu. Pole mkuu je tatizo la kuzaliwa nalo au umelipatia ukubwani?

Kwa sisi tusio na tatizo la macho, hatukutegemea kusikia atajwe kwa mtangazaji wa kiswahili wala wa kingereza bali tumemuona kwa macho kwenye luninga na wengine walienda uwanjani. Ngoja vipofu wenzio waje wakusimulie maana mtakuwa na lugha moja kwavile wote mnategemea kusikiliza badala ya kuona
 
Naona unanichamba..
 
Back
Top Bottom