Hongera Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu kwa makala ya historia ya Ikulu

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jambo Jambo?

Kama mnavyofahamu kuwa mimi ukiniwekea CCM na Andazi unachagua nini, ni dhahiri kuwa nitachagua Andazi ila siku zote kama serekali isiyojitambua ikafanya jambo la maana basi yapasa kuwapa maua yao.

Hii Makala ya Historia ya Ikulu Tangu Nyerer mpaka awamu hii kwa mahojiano na wake wa watawala na watawala wenyew(walio hai) na kueleza namna ilivyokuwa hisia zao siku ya kwanza ya kuingia ikulu inapendeza

Pia picha za ikulu kwenye documentary zinaonekana vizuri,Japo nilishawahi kuingia ikulu hapo Dar es salaam kipindi Obama amewasili kama mmoja wa wageni waalikwa kutoka Taasisi “X”.

Kongole Zuhura Yunus hakika unastahili maua yako si tu kuanzia hii makala(Documentary) na ulivyobadilisha hata muonekano wa kurugenzi hiyo (Nilipenda blue background kipindi cha kamala harris na SSH kwenye Press Conf. Ikulu Dar es salaam.

Japo serekali inachechemea na kufeli kuongoza nchi, Na kupelekea wapinzani kuchukua nchi 2025 bado baadhi ya sekta wakifanya vzr tuwape kongole.

Mara baada ya Chadema kuchukua nchi na mimi kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera nitamteua Zuhura Yunus kuwa Afisa habari wa Mkoa wangu na nitamlipa hela yyte atakayotaja kwa jinsi huyu mwana mama anachapa kazi.

ANASTAHILI HEKO!

Nshomile
kwasasa
Kahama, Tanzania
 
Jambo Jambo?

Kama mnavyofahamu kuwa mimi ukiniwekea CCM na Andazi unachagua nini, ni dhahiri kuwa nitachagua Andazi ila siku zote kama serekali isiyojitambua ikafanya jambo la maana basi yapasa kuwapa maua yao.

Hii Makala ya Historia ya Ikulu Tangu Nyerer mpaka awamu hii kwa mahojiano na wake wa watawala na watawala wenyew(walio hai) na kueleza namna ilivyokuwa hisia zao siku ya kwanza ya kuingia ikulu inapendeza

Pia picha za ikulu kwenye documentary zinaonekana vizuri,Japo nilishawahi kuingia ikulu hapo Dar es salaam kipindi Obama amewasili kama mmoja wa wageni waalikwa kutoka Taasisi “X”.

Kongole Zuhura Yunus hakika unastahili maua yako si tu kuanzia hii makala(Documentary) na ulivyobadilisha hata muonekano wa kurugenzi hiyo
(Nilipenda blue background kipindi cha kamala harris na SSH kwenye Press Conf. Ikulu Dar es salaam.

Japo serekali inachechemea na kufeli kuongoza nchi, Na kupelekea wapinzani kuchukua nchi 2025 bado baadhi ya sekta wakifanya vzr tuwape kongole.

Mara baada ya Chadema kuchukua nchi na mimi kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera nitamteua Zuhura Yunus kuwa Afisa habari wa Mkoa wangu na nitamlipa hela yyte atakayotaja kwa jinsi huyu mwana mama anachapa kazi.

ANASTAHILI HEKO!!!

Nshomile
kwasasa
Kahama, Tanzania
Picha tafadhali Nshomile!
 
Zuhura ni mkubwa kumfanya awe afisa habari wa mkoa wa kagera huko ni kumshusha hadhi hata kama utamlipa mshahara mkubwa anaoutaka yeye. Labda ungesema utamchugua awe waziri wa utamaduni na utalii hapo ungeeleweka vizuri.
 
Kwa kweli zuhura ni mwana PR mbunifu, kunapokuwa na press za ikulu huwa kuna madhari za jengo la ikulu kwenye background tofauti na maafisa habari wa ikulu waliopita. Huyu dada anafanya vizuri sana kwenye idara yake huko ikulu
 
Back
Top Bottom