Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,551
Jambo Jambo?
Kwa habari za chinichini zilizonifikia kutoka chanzo muhimu ninacho kiamini ni hizi hapa.
——————————————————————-
Unaambiwa ATCL Yafikiria kuondoa ndege zake ndogo kama bombadier na zingine katika route ya Dar-Bukoba,Bukoba-Dar kwasababu wateja/abiria wanaoenda huko kuwa wengi hivyo inailazimu Shirika kupiga route za mara kwa mara ili kuhakikisha watanzania wanaosafiri route hiyo kuwa”accomodated”.
Tunafahamu kuwa katika Generation za ndege huwezi ukaacha kutaja ndege aina ya Boeing 787 -8 iliyo ya kisasa zaidi kuliko Boeing 767, Boeing “Tripple 7”. Na ndege hyo ya 787-8 inapiga route za international ili kushindana na makampuni mengi kama KQ na Ethopian Airways.
Lakini licha ya boeing hiyo kupiga international route,ATCL inafikiria na inaamini soon wataweka route ya peke yake ya kutoka Dar-Bukoba na Bukoba-Dar na itakuwa inaruka direct bila kuokoteza mikoa jirani kama Dodoma na Mwanza huku siri ikiwa na abiria wengi kwenda huko.
Imagine Watanzania wanaoenda Bukoba na kurudi wanafikia zaidi ya 200 kwa siku ambapo jumla inakuwa 400 “Go and Return” kwa ndege huku mikoa mingine ikichechemea kwa abiria kiduchu wa Ndege na Lukuki kwa mabasi.
Hii ni kutokana na baadhi ya makabila ya huko bukoba kuwa wavivu kupanda mabasi kwa sababu ya umbali mrefu wa safari, Huku wamiliki wa mabasi kwenda huko wakipunguza mabasi yao kwenda bukoba na Kagera kiujumla na kuyahamishia mikoa mingine ambako kuna wateja wengi zaidi.
Asante sana ATCL kwa kutambua mchango na umuhimu wa kuweka dege kubwa katika route muhimu hii kwa Taifa na ukizingatiaa Huko ndo kunaongoza kuwa baadhi ya makabila yenye utashi na uwezo mkubwa wa kielimu.
(WADENGEREKO WANAKUJA NA MATUSI)
WAALEEE TWARUKAAAAAAAA!!!!!
Nshomile
Kwasasa
Kagera,Tanzania