Search results

  1. RasJah

    Rais Magufuli, TANESCO Kigamboni kuna tatizo

    Mh Rais pole na kazi nyingi ofisini.Naandika hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana na sikutaka kufanya hivi kwani niliamini ofisi ya tanesco kigamboni ilikuwa bado ina uwezo wa kutusaidia sisi wananchi wa kisarawe 2. Lakini kwa urasimu uliopo na majibu yao yanayoshawishi mazingira ya rushwa...
  2. RasJah

    Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inawadhulumu Wafanyakazi

    MIFUKO ya Hifadhi ya Jamii nchini inaongoza kwa kudhulumu wafanyakazi kutokana na kutofanya mrejesho wa faida inayotokana na vitega uchumi vyao. Wafanyakazi wamekuwa wakichangia fedha nyingi kwenye mifuko hiyo na fedha hizo ndizo zinazotumika kuanzisha vitega uchumi kama vile majengo makubwa...
  3. RasJah

    Kwanini wadada wa Tanzania ni Tegemezi sana Tofauti na Kenya, Uganda na Pengine

    Hii tatizo la mabinti, madada au wa mama wa Tanzania kuwa tengemezi sana kwa kila kitu hata kama anafanya kazi tofauti na wanawake nchi za afrika mashariki na barani afrika kwa ujumla wake. Katika hali iliyo ya mazoezi kwa asilimia 99.9 kwa wanawake wa kibongo kutokuwa tayari kuchangia bill ya...
  4. RasJah

    Mada maugo v/s fransis cheka

    Wakuu kwa wale watakao kua PTA mutujuze nani atatoka na mkanda wa IBF na Mkoko wa milioni nane leo Nawasilisha
  5. RasJah

    Mwamdishi wa passport

    Wakuu hivi yule mwandishi mashuhuri wa pass za kusafiria za miaka ile ya nyuma kabla ya hii technolojia ya kuandikia computer haijafungwa pale uhamiaji yuko wapi?? Nilikuwa napitia passport za wazee wangu hapa hizi hati zinavyofanana hadi nukta??
  6. RasJah

    Mangula wa ccm

    Nimekutana na huyu muheshimiwa mstaafu katibu mkuu wa ccm hapa iringa dukani ananunua mbolea ya kupandia wakati msimu wa kupanda bado. Jamani mzee kachoka vile na zile ndevu ni hatari....
  7. RasJah

    Madudu mengine yatokea PPF yaani sehemu ya Shs. 200 Milioni... [Proof needed]

    Mwaka 2009 PPF HQ walitoa fedha kiasi cha shilingi milioni 200 kuwalipa Mtibwa sugar kwa lengo la kuwalipa staff au vibarua wa mtibwa sugar, lakini kutoka na mahusiano mabaya kati ya Management ya Mtibwa Sugar na hao Vibarua, Utawala wa Mtibwa Morogoro ukaomba msaada kutoka PPF Morogoro chini ya...
  8. RasJah

    Chals baba atimka twanga pepeta

    Dogo kaamua kuachia jukwaa la twanga pepeta najua itakua ni mgongano wa kimaslahi baada a kujiona sasa na yeye ni babkubwa
  9. RasJah

    Hazina (MOFeA) imekuwa mwiba kwa watumishi wenye uadilifu na kutolewa kafara!

    Hazina yaani Wizara ya Fedha hivi karibuni au awamu ya pili ya JK imekuwa na chini ya uongozi wa waziri wa fedha Mkullo amekuwa anapatikana na kashifa nyingi sana na sasa amehamia kwa watumishi ambao ni wachapa kazi na kuwa victimize kutokana na misimamo yao. Mfano Mr. Kamugisha ex-CPAD...
  10. RasJah

    Kuna sababu yeyote ya Msingi ya Uwepo Na NIDA kwani RITA ndio Chombo Sahihi Kabisa nchini

    Tanzania kweli ni nchi ambayo huwa inakulupuka katika maamuzi amba asili na msingi wake mkubwa ni ulaji tu. Historia inaonyesha RITA ilianzishwa chini ya Wizara ya Sheria na Katiba na baadae kuwa Agency na punde ilipokuwa agency lobbyist Dickson Maimu akawa CEO wa shirika mara aliposikia kuwa...
  11. RasJah

    Kwanini JK asiwe shupavu kama Rais Sata wa Zambia na kutoa maamuzi mazito kama haya ya Sata

    Zambia President Michael Sata is sworn in BACKGROUND: FINANCE BANK OF ZAMBIA Finance Bank Zambia Limited (FBZ), commonly referred to as Finance Bank, is a commercial bank in Zambia. It is one of the 18 licensed commercial banks in the country, as of October 2010. The bank has a subsidiary...
  12. RasJah

    Clouds FM na radio one azisikiki tena radio one ni miaka mi 5 sasa kwa ajili ya uwizi

    Jamani wana jamii naomba kuwasilisha tena kwamba hapa kwetu mbeya city hakuna matangazo ya clouds fm na radio one kwa muda sana sasa , na hakuna sababu yoyote ile mpaka leo na unajua inasumbua akili mkoa una maendeleo kuna radio za kijinga tu hapa mjini wanaiga idea za watangazaji wengine sasa...
  13. RasJah

    Wadhamini wa mahakama feki wadakwa.

    Jana mahakama ya ilala imewadaka wadhamini kanjanja wanaotega maeneo ya mahakama na barua za serikali za mitaa ili kuwadhamini watuhumiwa wasio na ndugu kwa ujira wa tsh 20,000, na baadae hukimbia... Wadau hii imekaaje??
  14. RasJah

    Clouds FM haisikiki Mbeya city ni mwezi wa 3 nasikia wamefunga sababu ya mbunge wa Mb town

    Je jamaa wanafanya biashara au, maana Mbeya hamna FM ya maana na zote zinaongea ujinga ujinga tu. Bora clouds kidogo ilikuwa inabadilisha mazingira. Ukimuuliza kila mwenyeji wa hapa wanasema n habari za siasa kaka, je tutafka kama kila kitu ni siasa jamani? Naombeni majibu wadau au kama kuna...
  15. RasJah

    Tanzania ni Kichaka cha Kuficha Maharamia na Kuwaita Wawekezaji Fedha ambazo ni Blood Money!

    Mh. Membe ametoa karipio kali sana kuwa Libya bado haiwaitambui Serikali ya Rebel (NTC) na hata ameweza kuita Balozi wa Libya baada ya kuweka Bendera ya nchi ya Rebel kuwa wamekuika taratibu za nchi za diplomasia. Je nchi yetu tunaonekana vipi kama wawekezaji waki-somali mfano Paradise hotels...
  16. RasJah

    Kwanini Mikataba ya Wakurugenzi wengi Tanzania Haina kikomo na Wanachukua Mishahara mikubwa sana?

    Tanzania inazidi kupoteza mwelekeo katika ngazi ya Uongozi wa Juu wazo limekuja baada ya kufanya tathmini ya muda mrefu. Mikataba mingi ya mashirika mengi haina kikomo cha mwisho kwa wakurugenzi wake. Mfano mikataba inaanzia miaka 3 - 5 na sheria inasema mkurugenzi atakaa madaraka siyo zaidi ya...
  17. RasJah

    Hello JF Members

    I am very glad to inform the JF members and I am just new I have joined JF to bring real changes to our communities and help our govt on what we call good governance is all about leaders to be clean and not hypocrites. Regards, Ras:target:
Back
Top Bottom