Wadhamini wa mahakama feki wadakwa.

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Jana mahakama ya ilala imewadaka wadhamini kanjanja wanaotega maeneo ya mahakama na barua za serikali za mitaa ili kuwadhamini watuhumiwa wasio na ndugu kwa ujira wa tsh 20,000, na baadae hukimbia... Wadau hii imekaaje??
 
Back
Top Bottom