Chals baba atimka twanga pepeta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chals baba atimka twanga pepeta

Discussion in 'Celebrities Forum' started by RasJah, Jan 6, 2012.

 1. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Dogo kaamua kuachia jukwaa la twanga pepeta najua itakua ni mgongano wa kimaslahi baada a kujiona sasa na yeye ni babkubwa
   
 2. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Superiority complex???
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  akajiunge na mapacha wa tatu..
   
 4. Rayz of Diamond

  Rayz of Diamond Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipindi kile aliwakimbia wenzake kwenye enzi zile za Mapacha Wanne na kurudi zake Twanga Pepeta kwa hofu ya Mwanamama Iron Lady Mamaa Asha B sasa sijui sasa hivi atawarudia tena Mapacha Watatu!!! Ngoja tuone...
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Lol...Yawezekana ana2a Xtra Bongo...
   
Loading...