Clouds FM na radio one azisikiki tena radio one ni miaka mi 5 sasa kwa ajili ya uwizi

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Jamani wana jamii naomba kuwasilisha tena kwamba hapa kwetu mbeya city hakuna matangazo ya clouds fm na radio one kwa muda sana sasa , na hakuna sababu yoyote ile mpaka leo na unajua inasumbua akili mkoa una maendeleo kuna radio za kijinga tu hapa mjini wanaiga idea za watangazaji wengine sasa tumechoka jamani tz yetu wote wazee kama watu wa clouds na radio one mpo uhu tusaidiane jamani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom