Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, ametuma salamu zake kwa Democrat Union of Africa (DUA) ambacho kimefanya mkutano wa uchaguzi huko nchini Ghana.
DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vya mrengo wa kati-kulia barani Afrika. Ilianzishwa huko Dakar, Senegal, mnamo 1997. DUA inalenga...
Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo.
Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
Bila kujali aina ya siasa za Odinga, nimevutiwa sana na huyu binti yake mdogo! Anaelekea kuwa focused and composed! She is really potential politician in the making!
Tangu awamu ya nne mpasuko wa Taifa kwa misingi ya udini na ukabila umekuwa ukiongezeka siku baada ya siku! Hii ni hatari kubwa kwa mshikamano wa kitaifa! Tujikumbushe mawaidha ya baba wa Taifa kuhusu swala la ukabila!
Kufikia Oktoba 2017 serikali awamu ya tano itakuwa madarakani kwa miaka miwili tayari! Uchaguzi Mkuu 2015 malalamiko yalikuwa mengi sana juu ya "Tume ya Uchaguzi"! Mbona sioni tuhudi zozote zinafanyika kuhakikisha inapatikana "Tume Huru ya Uchaguzi" kabla ya 2020? Hizi harakati za matamko ya...
Tuachane na mijadala ya mimba za watoto wa shule, ambao kimsingi wanabakwa! Tucheue mijadala kama hii kwa ustawi wa ufahamu wetu na ushiriki wetu kwenye mijadala ya kitaifa!
Huyu kijana ukifuatilia michango yake bungeni yuko tofauti sana na wenzie wa chama chake! Hapigi vijembe au kuimba taarabu, yeye anakata issues mpaka utafurahi kumsikiliza! Laiti wangekuwa wengi kama yeye huko chamani!!
Baada ya kamati ya kwanza ya Prof. Mruma kutoa taarifa iliyoashiria kuwa Acacia wanatupiga/ibia sana kwenye makinikia(mapanki), na kupelekea waziri, watumishi na bodi TMAA kutumbuliwa, natamani kamati ya pili ingalipewa hadidu rejea ya ziada kufuatilia pia taarifa za real deal/dhahabu safi...
Nimejifunza jambo kubwa sana leo kutokana na wasifu huu wa mzee "Ndesa Pesa": Kwamba sio kila anayefanya siasa anatafuta maslahi binafsi ya kiuchumi! Hakika Chadema imejaa damu & jasho la huyu baba!!! Tangulia kamanda Ndesamburo na Mungu akakujazi!
Zaidi ya nusu karne ya uhuru wa nchi, bado watoto 130 wa Tanzania hufariki kila siku kwa ukosefu wa lishe bora! Hapo hujaweka idadi ya wale wanao "dumaa"!!! Hii imekaaje GT?
Prof. Tibaijuka anakiri kuwa kama nchi tumekosea kwa muda mrefu, na ile tuweze kujinasua na kusonga mbele vijana wetu wataalamu (Lissu & Co) wasikilizwe na sio kupuuzwa!
Jana tarehe 14.12.2016 nikifuatilia taarifa ya habari channel 10 majira ya jioni nilifurahishwa na taarifa iliyohusu wawekezaji wa Ujerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Tanzania ambacho kitakuwa kikubwa zaidi kwa Afrika. Ila nilishtushwa kidogo alipoongea balozi wa Ujerumani na kudai kuwa...
Mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka jana 2015, jina la mheshimiwa mbunge Ridhiwani Kikwete halikuwa haba kwenye media! Ama yeye mwenyewe alifanya mambo/matukio yaliyohitaji coverage ya media, au alituhumiwa kuhusika na mambo mbalimbali ya kibiashara na hata kijamii!
Kwa sasa anaonekana na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.