Damu moto hivi kwa vijana wetu inatia moyo

Jipu halifunikiki, hakika kuna short mahali huu umeme umekatikia njiani. Wataalam tuambieni kulikoni?? Hivi, huko hazina kuna hela kweli?? Hizo mnajengea viwanja na sgr zipo na nyongeza ya haya maroroso mengine?? Nawaza kwa sauti tu. Nadhani kuna mahali nyaya zimekatika na mawasiliano hayapo vizuri.
 
Back
Top Bottom