Prof. Tibaijuka katika ubora wake

Prof. Tibaijuka anakiri kuwa kama nchi tumekosea kwa muda mrefu, na ile tuweze kujinasua na kusonga mbele vijana wetu wataalamu (Lissu & Co) wasikilizwe na sio kupuuzwa!

Lissu asikilizwe nn kwa ushauri huo mbaya
 
Hahaaa. Mama amechapia kwa kusema kadri unavyotanua ndivyo watu wanavyotamani
 
Ukimsikia msomi huyu mama tibaijuika kwa umakini na kiuchambuzi anasema hivi RAIS HAJAKOSEA SANA ( hii inamaanisha anakiri kuna makosa rais kayafanya ila kwa upande wake anaona hajakosea sana) mtazamo huu ni sawa kabisa na wa TL japo yeye TL analitumia lugha na hisia kali kutokana na nature yake ya kuzungumza. Jambo la pili ambalo nimeliona kwenye mchango wa mama tibaijuka ni kwamba njia pekee iliyonzuri ni NEGOTIATION na hawa wazungu, na hili ni kwasababu anaona kisheria tunaweza kuburuzwa. Jambo la tatu ni pale anapowaambia serikali ijipange kisheria na kiuchumi kwamba hao wanasheria lazima wajipange (mama tiba anaona sisi kupelekwa mahakamani ni jambo lisilo epukika na kwamba ni lazima tujipange kisheria) ,huu ndiyo mtazamo wa TL pia lakini anamalizia kwa kumwambia TL kuwa huu si muda wa kusema nani alifanya nini Bali kama mtaalamu ni muda wa kusaidia nchi. Kifupi huyu mama ametoa credit kwa TL kama mtaalamu na asset kwa nchi.. HUU NI UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHANGO WA MAMA TIBAIJUKA .
 
Kadri unavyopanua ndio watu wanavyo tamani!! Asante mama! ni kweli kabisa... hahahah
 
Raisi yuko sawa.njia aliyotumia sahihi.dunia imetambau.tuna raisi.jasiri.
Tibaijuka anakwambia kuwadhau wataalamu na kuwahita wanaharakati matokeo yake ndiyo haya , anasema kuna hawa vijana akina lisu na wenzao wako vzr tuwatumie. Sasa nikuulize swali mkuu, unadhani kwanini Prof Tiba anasema atashikilia shilingi kama mawaziri hawatasema way forward ,kama hawatasema clearly what next after this stage and how gvt is going to proceed with next episode? Anajua tayari tushaliamsha dude na kama hatuna way forward lazima ile kwetu. Kwahiyo utetezi au majibu ya waziri ndiyo yanayoenda kutoa mwanga kwamba serikali imejipangaje kwa yafuatayo ITV.
 
Ukimsikia msomi huyu mama tibaijuika kwa umakini na kiuchambuzi anasema hivi RAIS HAJAKOSEA SANA ( hii inamaanisha anakiri kuna makosa rais kayafanya ila kwa upande wake anaona hajakosea sana) mtazamo huu ni sawa kabisa na wa TL japo yeye TL analitumia lugha na hisia kali kutokana na nature yake ya kuzungumza. Jambo la pili ambalo nimeliona kwenye mchango wa mama tibaijuka ni kwamba njia pekee iliyonzuri ni NEGOTIATION na hawa wazungu, na hili ni kwasababu anaona kisheria tunaweza kuburuzwa. Jambo la tatu ni pale anapowaambia serikali ijipange kisheria na kiuchumi kwamba hao wanasheria lazima wajipange (mama tiba anaona sisi kupelekwa mahakamani ni jambo lisilo epukika na kwamba ni lazima tujipange kisheria) ,huu ndiyo mtazamo wa TL pia lakini anamalizia kwa kumwambia TL kuwa huu si muda wa kusema nani alifanya nini Bali kama mtaalamu ni muda wa kusaidia nchi. Kifupi huyu mama ametoa credit kwa TL kama mtaalamu na asset kwa nchi.. HUU NI UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHANGO WA MAMA TIBAIJUKA .
Uko sahihi...
Na kwa kuongezea kasisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwasikiliza wataalamu. Kasema kuhusu kelele za LEAT za miaka mingi kuhusu sekta ya madini...na akawakumbusha kuwa Lissu amakuwa mwanachama wa LEAT kipindi chote hicho...akawaambia wale vijana wako vizuri....tungeheshimu utaalamu wao tisingefika hapa.
Nimependa pale alipomambia JPM kiustaarabu kua kakosea ila sio sana....
 
Nadhani jana Werevu walimwelewa mama Tiba..
Wale mabumbumbu..bado wako na wataendelea kuwepo wakishangilia wasilolielewa..
Bora amesema kitaaluma na uzoefu alionao wakimataifa..

Hili ndilo tamko La vijana makini wa LEAT...
 
Attachments

  • TAMKO LA LEAT JUU YA RIPOTI YA KAMATI MAALUMU YA RAISI.pdf
    251.6 KB · Views: 47
Back
Top Bottom