Kufikia Oktoba 2017 serikali awamu ya tano itakuwa madarakani kwa miaka miwili tayari! Uchaguzi Mkuu 2015 malalamiko yalikuwa mengi sana juu ya "Tume ya Uchaguzi"! Mbona sioni tuhudi zozote zinafanyika kuhakikisha inapatikana "Tume Huru ya Uchaguzi" kabla ya 2020? Hizi harakati za matamko ya baadhi ya watu kumtaka uncle Magufuli awe Raisi wa kudumu hazijawashtua bado kuwa njia inafagiliwa kuelekea 2020 na pengine hata 2025?
Yangu macho na masikio!!!
Yangu macho na masikio!!!