Wishful Thinking

kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,172
2,000
Baada ya kamati ya kwanza ya Prof. Mruma kutoa taarifa iliyoashiria kuwa Acacia wanatupiga/ibia sana kwenye makinikia(mapanki), na kupelekea waziri, watumishi na bodi TMAA kutumbuliwa, natamani kamati ya pili ingalipewa hadidu rejea ya ziada kufuatilia pia taarifa za real deal/dhahabu safi (minofu) kujua usahihi wa data zinazokuwa declared nchini na zile za kule sokoni na kwenye reserves mbali mbali ambako minofu hiyo hupelekwa! Tusije kujikuta tunakimbizana na mapanki tu wakati wenyewe wanajinoma na minofu yetu!

Katika vita hii natamani Raisi abaki Magufuli ila natamani Spika angekuwa Lissu! Wangetunishiana misuli na kupimana ubavu, lakini mwisho wa siku ingejulikana mzalendo wa kweli nani, na hakuna mhusika wa ubadhirifu hata mmoja angebaki salama!

Just wishful thinking!!!
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
187,546

REASONING...

Mkuu amesema;
ACACIA watatulipa hela zote zitakazothibitika tunawadai! Safi sana hii. Ila tafakari neno "KUTHIBITIKA".

Kisha;
Kwa hesabu za haraka "ikishathibitika" itawapasa ACACIA kuturudishia Jumla ya Trilioni 100 hadi 108 (Bilioni 1000 x 10 hivi). Safi sana hii, ila Pigia Mstari neno TRILIONI 100.

Tuendelee mbele;
Mtaji wa ACACIA ni Shs Trilioni 10 tu! Trilioni 10. Mtaji wa ACACIA ni asilimia 10 ya hela tunazowadai. Yaani itahitaji kuwe na ACACIA 10 (ziungane) ili kulipa fedha "zitakazothibitika."

Hii inaitwa REASONING tu na kuna watu wataaita KEJELI. Reasoning (Kuchambua mambo makubwa kwa kuangalia mbele sana) ndiko kuliifanya Uingereza ikatutawala, Marekani ikawa SUPER POWER, Uchina ije juu sana kiuchumi n.k. Huku kwetu REASONING ni Uchochezi, ni kukosa uzalendo, ni kuwatetea wezi n.k. hairuhusiwi!

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,403
2,000
Baada ya kamati ya kwanza ya Prof. Mruma kutoa taarifa iliyoashiria kuwa Acacia wanatupiga/ibia sana kwenye makinikia(mapanki), na kupelekea waziri, watumishi na bodi TMAA kutumbuliwa, natamani kamati ya pili ingalipewa hadidu rejea ya ziada kufuatilia pia taarifa za real deal/dhahabu safi (minofu) kujua usahihi wa data zinazokuwa declared nchini na zile za kule sokoni na kwenye reserves mbali mbali ambako minofu hiyo hupelekwa! Tusije kujikuta tunakimbizana na mapanki tu wakati wenyewe wanajinoma na minofu yetu!

Katika vita hii natamani Raisi abaki Magufuli ila natamani Spika angekuwa Lissu! Wangetunishiana misuli na kupimana ubavu, lakini mwisho wa siku ingejulikana mzalendo wa kweli nani, na hakuna mhusika wa ubadhirifu hata mmoja angebaki salama!

Just wishful thinking!!!
Tatizo ni kwamba Tundu Lissu amefanya miscalculation kubwa sana katika swala hili.For now I am sure that is not a possibility.Kweli ni wishful thinking!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom