Kinana katika ubora wake!

Wanasiasa roho zao zina madoa doa Kama ya chui.
Huwezi elewa ni doa gani atalitumia leo ama kesho!!

Nitarudi tena ... ... ...
 
Kuna waziri bungeni kaongea kazi ya siri-kali ni kupiga sound tu..... Sikuamini nilipoiona hiyo video na kuwa maneno hayo kayasemea mjengoni.

KUPIGA SOUND
 
Alimaanisha, ndiyo maana yanamtesa

Umeiweka vizuri mkuu kwamba - "ndio maana yanamtesa"!!! Lakini pia yawezekana upande wa pili ukawa na ukweli vile vile - kwamba "ndio maana wanamdhibiti"!!!
 
Kwa kuendelea kuwa katibu kwa sasa ina maana anakula matapishi yake... hakuna lililo badilika kuanzia waziri mkuu kuwa kiongoz wa serikali bungeni na wabunge kuwa wa ndiyooooioi...
 
Yawezekana anayotekeleza JPM kwa sasa ni matokeo ya KINANA ktk ziara ya nchi nzima. Alitumia vzr nafasi yake kukisoma chama na serikali na sasa wanatenda mabadiliko makubwa kweli kwa vitendo.
 
Mambo ya wabunge kuunga mkono kila kinacholetwa na serikali...mbona bado mnalazimisha wabunge kukubali kila hoja?
 
Mambo ya wabunge kuunga mkono kila kinacholetwa na serikali...mbona bado mnalazimisha wabunge kukubali kila hoja?

Huyu mzee kaongea mambo mazito na ya msingi sana, sijui kwa nini anashindwa kuyasimamia wakati yeye ndiye Katibu Mkuu bado!
 
Back
Top Bottom