Nimeipenda hii ya USA

kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,346
1,678
_94266606_us_govt_checks_balances_v02_624in-png.469401

Kwa wajuzi wa haya mambo hebu iwekeni hii kitu kwenye mgawanyiko wa mihimili yetu ya dola hapa Tanzania
 
Huku afrika tunatunga sheria kwa ajili ya kumukomoa mtu fulani!! Na hata kama sheria ni nzuri lakini cha ajabu matamko ya kimzuka mzuka yanakuwa nayo sheria!!!! Watu wanapigwa ganzi,, njaaa mbaya sana jamani!
 
Back
Top Bottom