Search results

  1. W

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Habari Wanajukwaa; Kama tunavyo fahamu leo Mahakama kuu Mkoani Arusha imempa ushindi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya hai, Lengai Ole Sabaya, dhidi ya Jamhuri katika kesi yake ya unyang'anyi wa kutumia silaha aliyokuwa amehukumiwa miaka 30 Jela. Sabaya ameshinda rufaa hii bila ya kuwepo hashtags...
  2. W

    Imekuwaje Kenya iliyosimamishwa na FIFA kujihusisha na shughuli za kimichezo imetoa muamuzi wa kisimamia mechi ya CAF CC ya Simba Vs Orlando Pirates?

    Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
  3. W

    TFF ndiyo wanamiliki soka hapa nchini?

    Sasa sijui umeandika nini, kwani kuna mchezo wa soka ambao utaendeshwa bila kuratibiwa wa Tff?.. Hiyo itakuwa ni ndondo aka cha ndimu aka dogoli
  4. W

    Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

    Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
  5. W

    Msaada, nini maana ya "Mahala ulipozaliwa"?

    Yaani mimi nimeuliza swali badala ya kujibu nawe unaniuliza swali tena
  6. W

    Msaada, nini maana ya "Mahala ulipozaliwa"?

    Habari wanajukwaa, naomba moja kwa moja niende kwenye uzi mfupi wa hiyo swali kama linavyosomeka. Katika baadhi ya nyaraka mbalimbali ninazokutana nazo kama za kazini, NIDA, fomu za maombi ya kupigia kura, kujiunga na Chuo na nyaraka nyingine zinahozitaji kijua wapi ulipotoka au wapi...
  7. W

    Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

    Uzi mrefu kama maswali ya Mawakili kule Mahakamani au kama topic ya Organic Chemistry kule A - level ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
  8. W

    Ilikuwaje Askari Polisi akawa Mwandishi wa Gazeti la Uhuru?

    Hii nchi ni kukaa kwa kutulia sana la sivyo unapotea
  9. W

    Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

    Hiyo account ilikuwa verified kipindi yuko hai hadi last week, but kuanzia leo ndio haiko verified. Ina additional, Mbona account ya Dr Mengi iko bado verified ili hali naye hatupo naye?
  10. W

    Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

    Hapo ndipo nilipokuwa sielewi kwa hayati kwanini hakum-follow makamu wake au chama chake?.. eniwei alale salama huko aliko!
  11. W

    Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

    Habari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi...
  12. W

    Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  13. W

    Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Yes,kwa ufupi jamaa hatoboi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Back
Top Bottom