Search results

  1. K

    Mwakyembe usiwe mbuni, mchawi bandarini ni uliowaamini, WATOE

    Kwa muda mrefu sasa tokea Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, abadili uongozi mzima wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), huduma za bandari zimekua zikizidi kuzorota kwa kasi na yeye na wenzake kukanusha kuhusu kuzorota huko. Siku zilivyozidi kwenda Dk. Mwakyembe na wenzake wakaanza...
  2. K

    Hali mbaya UVCCM: Mwenyekiti mpya akodi mabaunsa sita Dar kwenda nao Dodoma!

    Wakati CCM ikijiandaa kuanza kwa vikao vyake, hali ndani ya Umoja wake wa vijana UVCCM inaelekea kuwa mbaya baada ya Mwenyekiti mpya wa umoja huo, Sadifa, kufika Dar na kuachana na ulinzi wa Green Guard na kukodi walinzinwa mitaani wenye miraba minne maarufu kama mabaunza na sasa yuko nao njiani...
  3. K

    Hongera sana Chadema kwenye matokeo ya udiwani ...

    Uchaguzi wa madiwani leo ni kuwa Ccm ndio wamepoteza zaidi kwani mpaka sasa wao ndio wamenyanganywa kata nyingi zaidi hadi dakika hii na cdm wanapaswa kupongezwa kwani mpaka sasa wao ndio wamefanikiwa kuongeza idadi ya madiwani kulinganisha na Ccm ambao wamepoteza kata lukuki mpaka muda huu...
  4. K

    Nyerere analia, Kikwete angalia uamuzi ni wako

    Nyerere analia, Kikwete angalia, uamuzi ni wako Mbaraka Islam Toleo la 264 19 Oct 2012 KWA kawaida ndoto hutafsiriwa kwa maana nyingi kulingana na hisia, imani na msimamo wa mtu anayewasilisha ama kupokea ujumbe husika, lakini kwa hili naandika nikiamini kwamba kuna ujumbe mzito ndani...
  5. K

    Kanisa halijaungua Arumeru

    Kilichoungua ni banda la mifugo ambayo ni ng'ombe na nguruwe , ila hakuna wanyama waliodhurika na tukio hilo. Banda hilo lipo kwenye uzio wa kanisa katoliki na ni mali ya kanisa hilo. More later kujua chanzo cha moto.
  6. K

    Mwakyembe na uchakachuaji wa ripoti ya bandari

    Waziri wa Uchukuzi, Dr. Mwakyembe, amethibitisha kuwa anachakachua ripoti ya Tume aliyoiunda kuchunguzz tuhma za bandari baada ya kuwaambia waandishi wa habari kwamba leo ndio amepokea baada ya kuirudisha kwa tume aliyoipokea awali ma pia amesema atahoji watu waliokataa kushirikiana na tume...
  7. K

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Maaskofu19 wa KKKT wanaongoza ibada maalum katika kanisa lao lililochomwa moto na wanatarajia kutoa tamko zito wakati wowote kuanzia sasa ambalo tutawaletea hapa. ============SALAAM ZA MAASKOFU WA KKKT KWA WATANZANIA WOTE KUHUSIANA NA MATUKIO YA KUCHOMA MOTO MAKANISA YA KIKRISTO ENEO LA MBAGALA...
  8. K

    Live updates: Uzinduzi kampeni Rombo kata ya Nanjara Rea

    Mkutano unaendelea hapa na kamanda Mbowe Ndio anaendelea -- Mgombea wa kata ya Nanjara Rea, Rombo (ndugu Francis Alfred Salakana) akisalimianana Mhe. Mbowe
  9. K

    Nape, Nahitaji ufafanuzi juu ya wateuliwa hawa na NEC

    Itakumbukwa kuwa Nnape alikuwa msitari wa Mbele kusema kuwa kanuni haziruhusu wagombea ambao wana vyeo vingi Ndani ya chama AMA serial ink kuchukua fomu na kugombea , sasa katika kundi la wagombea wa NEC bara nimeona kuwa hali hii AMA haiku sahihi au ulikuwa unapotosha ili nyie wa Secretariat...
  10. K

    CCM ni waongo kupindukia

    Nimeshindwa kutoa Hilo picha , ila tazama blog ya Ccm utaona wameweke picha mbili za ridhiwani Akita kwenye Kikao Kimoja ila kavaa nguo tofauti moja kavaa Shati la kijani wanasema alikuwa anachangia , ila ukiangalia picha ya tatu utamuona kavaa Shati lenye weupe wakati amekaa Akita anaongea...
  11. K

    Ndugai atangaze Maslahi kwenye kusimamia maliasili na utalii Bungeni

    Job Ndugai ambaye ni Naibu Spika wa Bunge anasimamia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii Bungeni na mjadala mkubwa umejikita kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakati huo huo yeye ni mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Ngorongoro haki itatendeka kweli? Mbona hajatangaza kuwa na mgogoro wa...
  12. K

    Prof. Shivji adhalilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bungeni

    Katika hali ya kushangaza leo jioni hii baada ya Mwanasheria Mkuu kushindwa kujibu hoja juu ya Muungano zilizotolewa na hotuba ya Kambi ya Upinzani (Lissu) amejikuta akisema kuwa Lissu amenukuu mwanasheria ambaye hakusoma katiba , nanukuu " kwa bahati mbaya umemnukuu Prof.Shivji, huyu alikuwa...
  13. K

    Ulimboka alikuwa akamatwe na polisi kabla ya kutekwa

    Ulimboka alikuwa akamatwe na polisi kabla ya kutekwa * Polisi walijipanga kumkamata kwa kudharau mahakama * Walikuwa wanasubiri ‘arrest warrant’ toka mahakamani * Wanaharakati wasema usalama walihusika na tukio WAANDISHI WETU Dar es Salaam TUKIO la kinyama alilofanyiwa Mwenyekiti wa...
  14. K

    Tafsiri ya Mwongozo wa Spika kuhusu hoja ya Kumwondoa Waziri Mkuu

    Kwa kuwa spika kaamua kwa makusudi kupindisha katiba na kanuni za Bunge na akiwa na lengo moja tuu la kuuhadaa umma wa watanzania walioko nje kuwa kinachofanyika hakina mantiki, ila ni jambo tuu ambalo linafanywa na watu ambao hawana au hawajui utaratibu , ni mwongozo wa ajabu sana kuwahi...
  15. K

    Bunge kuahirishwa kesho Jumamosi kuepuka aibu ya kufika j3 kisa saini 70

    Nawaletea taarifa hizi ambazo zimezagaa kwenye ofisi ya Spika na katibu wa Bunge kuwa huenda ratiba ikafupishwa na kesho jumamosi ikatolewa hoja ya kuliahirisha Bung kabla ya wakati ili kuilinda serikali isiangushwe na Bunge. Hii ndio hali halisi iliyopo huko kwenye ofisi hizo , na ntaendelea...
  16. K

    Watumishi wa Jiji la Mwanza hatiani kwa kubomoa choo cha bibi kizee mama lishe

    SHAURI la kudharau amri ya Baraza la Ardhi na Nyumba lililokuwa limefunguliwa na bibi kizee mmoja jijini hapa, Moshi Juma Mzungu(67) dhidi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza limetolewa uamuzi, ambapo wafanyakazi saba wametiwa hatiani na hivyo kuamriwa wakamatwe...
  17. K

    Wanakijiji waigomea serikali wakidai taarifa ya fedha zilizoliwa

    WAKAZI wa kijiji cha Machochwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamegoma kushiriki shughuli zozote za maendeleo , hadi hapo watakaposomewa mapato na matumizi ya fedha za kijiji chao. Habari za uhakika kutoka ndani ya kata hiyo zimeliambia gazeti hili kwa...
  18. K

    Lowassa anajua uzalendo au ni ‘machozi ya mamba?’

    Kwa wale waliokua wakisema Kubenea amenunuliwa na Lowassa sasa na waseme tena, maana watu wakisema huyu jamaa ni mtu asiyetabirika, hamuelewi. Leo kampa haki yake Lowassa. Lowassa anajua uzalendo au ni ‘machozi ya mamba?’ * * Na Saed Kubenea * EDWARD Lowassa, yule aliyejiuzulu nafasi...
  19. K

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mafuriko lililotolewa na Dr. Slaa leo

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAAM ZA RAMBIRAMBI NA POLE KWA WANAFAMILIA NA WANANCHI KUHUSIANA NA JANGA LA MAFURIKO YALIYOKUMBA JIJI LA DAR ES SALAAM, MBEYA NA DODOMA . Usiku wa kuamkia tarehe 20.12.2011 Maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es...
  20. K

    Msemakweli asakwa na polisi

    KUNA ofisa mwenzetu wa polisi kituo cha Kijitonyama ametumwa na Yuauf Manji amkamate mwanasheria na Mwalimu wa Chuo Kikuu Huria, Kainerugaba Erick Msemakweli, kwa madai kwamba alimuomba rushwa ya Sh Milioni kumi, hatua ambayo sisi katika polisi tumeiona kwamba inalenga kuzima harakati zake za...
Back
Top Bottom