Nape, Nahitaji ufafanuzi juu ya wateuliwa hawa na NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, Nahitaji ufafanuzi juu ya wateuliwa hawa na NEC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Sep 26, 2012.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Itakumbukwa kuwa Nnape alikuwa msitari wa Mbele kusema kuwa kanuni haziruhusu wagombea ambao wana vyeo vingi Ndani ya chama AMA serial ink kuchukua fomu na kugombea , sasa katika kundi la wagombea wa NEC bara nimeona kuwa hali hii AMA haiku sahihi au ulikuwa unapotosha ili nyie wa Secretariat Ndio mpate nafasi AMA vile vile kutoka na na nyie kuhusu a formula basi mlilazimisha kufunikwa kwa kanuni hiyo ambayo uliisema sana .

  Nipe ufafanuzi kuhusu majina ya wagombea hawa,
  1.WIlson Mukama
  2. Mwigulu NChemba
  3.JAnuary MAkamba
  4. Martin Shigela

  Hawa wote ni wote ni wajumbe we secretariat na sasa wanaomba UNec je? Hawakujua hiyo kanuni? Na Kama walishiriki kuiandaa sasa imekuwaje hapo ? AMA wewe NNape Ndio ulikuwa mnafiki na kusema uongo kuhusu kanuni Kama ulivyosema kuwa mafisadi wamepewa siku 90 wang'atuke kwenye chama ? Au ni muendelezo wa siasa uchwara?

  Kundi la pili ni la mawaziri wafuatao;
  1. Membe
  2. Lukuvi
  3.Wassira
  4.Adam Malima
  5. Janeth Mbene
  6.Sophia Simba
  7.Mary Nagu
  Na wengineo kibao wao Hawana majukumu Mengi? Nini ufafanuzi wako ili siku nyingine ukisema tena uweze kuaminika kwa kauli zako.

  Mwisho, kitendo cha MKama Na wajumbe wengine wa secretariat kugombea ni kuwa Hawana Imani na JK Kuwa atawateua tena baada ya uchaguzi ? AMA nini maelezo yako kuhusiana na Hali hii, kwani Mimi naona Kama ni watu waliokata tamaa kuwa kipindi kinachohusiana hawatakuwepo kwenye nafasi hizo na hivyo wanajihami yasijewakuta ya kuwa nje ya chama , je?wewe kwani I hukugombea? Unajiamini nini AMA umechoka na gamba lisilotoka?

  Ni hayo tutu kwa leo
   
 2. m

  malaka JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  lichama halina hata katiba ya kueleweka hapo kuna chama. JK anamoyo kweli aisee.
   
 3. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi kwenye kupitisha majina kwenye CC JK alikuwa akisaidiana na nani kwani naona katibu mkuu alikuwa nje Kama wagombea wengine na Kama alikuwa Ndani hiyo sio haki kwa wagombea wengine, mtunza fedha naye nje, wa siasa naye nje sasa briefing walipata wapi sijui.....natafakari Huku nikisubiria Majibu
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Duu sidhani kama atatokea, sija muona tangia tuhitaji hile barua ya ndugu yetu kuachana na siasa uchwara!
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa unahitaji ufafanuzi gani mkuu? mbona mambo yako wazi sana?? au we mgeni magambani?
   
 6. H

  HByabatto jr Senior Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Boti ikishaanza kuzama kila abiria anaweweseka kivyake....!
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hiki chama ni kiboko. Ila ni vema katiba mpya iweke wazi kuwa Rais wa Chama kitakachokuwa madarakani hapaswi kuwa ndiye mwenyekiti wa Chama!!! Imagine eti uko ako mzima unagombea halafu wewe unatumika kupitisha majina hayo? How comes? Hainiingii akilini. Kubaki amiri jeshi mkuu ni sawa but si kwa chama, please!!! Matokeo yake ni kama haya.
   
 8. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Unashangaa nini sasa! Ndivyo walivyo wanaweweseka.
   
 9. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inashangaza sana kwani wrote hao ni wajumbe wa CC sasa swali je? JK alipitisha majina yeye na Nnape na Msekwa? Kwani utagundua kuwa Kinana alishajitoa sasa hebu tafakari zaidi sijui Kama unaweza kuelewa mfumo huo
   
 10. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katiba ya CCM inasemaje kuhusu akidi ya kikao cha CC....... Kinana alikwazwa na nini?
   
 11. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ccm ndani ya nepi na jkaaaa ni hatari sana maana wanzama wanaona ila wanajifariji kuwa watafika tusubiri tuone nini kitatokea na mwisho wake utakuwaje.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  unashangaa ya mukama.
  jk aliwapitisha salma na riziwani.
   
 13. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mnakumbuka uchaguzi mkuu wa 2010 Kinana alipokuwa anasimamia kampeni za Jk ,jinsi alivyokuwa kinyume na familia kuwa Ndio timu ya kampeni?nini kilimsibu kwenye CC Nnape?
   
 14. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Waacheni wafu wawazike wafu wao.
   
 15. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Namuona Nnape Chanel ten anasema ni marufuku wagombea Kwenda Kumbu Kura na kuwa wafanyabiashara ni asilimia 20 tuu ya wagombea , wajameni Huyu anaelekea kuchanganyikiwa nini
   
 16. W

  WAMBURA BONIPHACE Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nnape anajimaliza mwenyewe!
   
 17. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na zile barua "walizopewa" akina Lowasa na Chenge za kuwataka kujivua gamba au watafukuzwa, hii filimee imeishia wapi? Nape hamna kitu, ndani ya CCM yeye akae tu kama mke ndani ya nyumba, anachoamua mume yeye hawezi kukipinga.
   
 18. r

  raymg JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pengine Nnauye anamajib sahihi acha tumsubiri.....
   
 19. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  huu uzi hata ukae mwaka hapa hutamuona NAPE kutupa jibu ,hilo lichama lina wenyewe mkuu wangu NA WATAZIKWA NALO 2015 SI MBALI
   
 20. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  NAPE mzee wa kucopy na kupest leo nimemuona katupia rubega ya kimasai kama afanyavyo dr slaa
   
Loading...