Nimeshindwa kutoa Hilo picha , ila tazama blog ya Ccm utaona wameweke picha mbili za ridhiwani Akita kwenye Kikao Kimoja ila kavaa nguo tofauti moja kavaa Shati la kijani wanasema alikuwa anachangia , ila ukiangalia picha ya tatu utamuona kavaa Shati lenye weupe wakati amekaa Akita anaongea Michael uledi .
Wataalamu wa it nenda www.ccmblog.com utaona na ziwekeni hapa hiyo picha , hii ni dalili ya wazi kuwa Ccm kila kits hata kwenye blog Yao wenyewe wan.achakachua ? Kwa masilagi ya nani.
Angalia picha ya tatu na ya tano , Wenye mautundu ziwekeni