Search results

  1. mamitod

    Naomba mwenye wimbo huu

    Jambo wakuu Kuna wimbo wa zamani kidogo calypso nafahamu baadhi ya mistari lakini sijui jina la wimbo huu. Naomba anayeufahamu anipe mashairi yake au anipe jina la wimbo tafadhali. chorus: "Would you like to jam it with me baby, would you like to rock with me honey sweet calypso ........ music...
  2. mamitod

    MSAADA: Nimepoteza hati ya kiwanja na sina copy yake

    Wakuu nawasalimu. Poleni kwa majukumu ya kila siku pamoja na harakati za kupambana na makinikia yetu. Naomba nisiwapotezee muda kwa hadithi ndefu. Nimepoteza hati ya kiwanja naomba msaada wa mawazo nini cha kufanya maana sina copy na original ndio imepotea katika mazingira tata. Nafikiri...
  3. mamitod

    Huu ni uandishi gani jamani?

    Huu ni uandishi gani jamani? Nimekutana na baadhi ya maneno mwandishi aliyatumia akijaribu kuelezea muswada wa sheria uliowasilishwa juzi bungeni. Nimesikitishwa jinsi tunavyoharibu lugha yetu. Neno "subuliwa" lilikuwa na maana gani? "kukulukakala" ??? Shame!! Kama ukikuwa mbali jana ndiyo...
  4. mamitod

    Sabasaba pavillion assistant is looking for job

    Natafuta kazi ya kuhudumu kwenye mabanda wakati wa sherehe za Sabs Saba. Mwenye kujua lo lote msaada tafadhalib
  5. mamitod

    Kiwanja kinauzwa Pugu Mnadani

    Mnunuzi wa haraka anahitajika. Kuna viwanja 2 ni 23 kwa 25 mita bei 4 milioni . Nitafute 0784 305504
  6. mamitod

    A plot (a piece of land for sale)

    A plot at Pugu near mnadani for sale at a throw away price. 23 by 30 mts Serious buyers only no middlemen please! (dalali) Call 0784305504 KARIBU
  7. mamitod

    AIRTEL ni wezi na wababishaji nafikiria kuwashitaki TCRA

    Nimeudhika sana tena sana. Nimegundua kama mara tatu hivi nikijaza muda ea maongezi huduma ambayo nainunua kwao wananipa dakika kadhaa na msg ambazo huishia saa sita usiku. Cha ajsbu juxi niliweka yatosha saa 7 usiku asbh msg hakuna hata moja lakini muda wa maongezi bado ulikuwepo japo msg...
  8. mamitod

    Mapokezi Global Publishers imenisikitisha

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Nilifika mapokezi nikaomba kuonana na mkurugenzi. Huyu binti mnatooo sijui ndio mmiliki halali au vipi maana duuu anaongea km anapumua almasi kumbe hewa ya kawaida tu. Akaniuliza una appointment? nikajibu la! Akasema nipe namba yako nitamfikishia ujumbe kisha...
  9. mamitod

    Shukrani kwa wote

    Asalaam aleykhum wote. Napenda kuwashukuru wana JF wote wanaosoma na wale wanaocomment kwenye post zangu kwa namna yo yote ile. Mnanipa furaha, nafarijika sana hasa kwa wale wanaoponda. I wish wangejua wananipanua ubongo kivipi. Niliowakwaza mniwie radhi, ndivyo nilivyo sifanyi kwa makusudi...
  10. mamitod

    Kubadili majina inakuwa na maana gani?

    Hebu naomba kujuzwa hili. Kuna miji au nchi zimebadili majina na kupewa mengine. Je ni kusiasa au kihistoria au ni viongozi madikteta? Mfano: 1. Cambodia = Thailand 2. Burma = Myanmar 3. Peking = Beijing 4. Mesopotamia = Iran n Iraq 5. Affars n Isas = Djibout 6. Dahomey = Benin 7. Upper Volta =...
  11. mamitod

    Kwa haya yaliyotokea huyu ni rais wa wapi?

    Msaada wenu wadau. Naonba kuuliza uchaguzi Znz umefutwa au uneahirishea? Kama umefutwa JPMakufuli ni rais wa JMT? Km ni ndiyo je wananchi ea Znz walimchaguaje?' Mwenzenu nina maswali mengi sana lkn nashindwa kutiririka. Hebu nijibuni hayo kwanza
  12. mamitod

    Nakumbuka Simba kapakatwa

    Jamani hivi kweli inaingia akilini toka jpili mpk leo jtano jimbo la mbagala hawajamaliza kuhesabu kura laki mbili? Ingawaje najua hata hazifiki idadi hiyo? Sensa ya nchi nzima hufanyila kwa siku 1 tu. Sasa mtu mzima inakuwaje? Hao wasimamizi wa vituo kwann wasichukuliwe hatua?
  13. mamitod

    Msaada Battery ya Laptop

    Heshima kwenu nyote. Naomba mwenye kuweza kunisaidia nipate battery ya laptop Dell ya kwangu imekufa. Chonde nina shida hiki kilaptop ndio kiofisi changu jamani toka juzi sijawasha jiko ofisi imelala. Mwenye msaada pse aweza hata kunirushia PM maana huu mtaa naujua kwa wale waliofyatuka matusi...
  14. mamitod

    Msaada: Laptop yangu aina ya Dell, imekata moto ghafla

    Jambo wakuu. Naomba msaada wenu wakuu. Jana nikikuwa nafanya kazi kwenye kilaptop changu DELL lakini cha zamani kidogo. Ghafla kikakata moto. Hakukuwa na power interruption maana kuna vitu vingine pia vilikuwa kwenye umeme. Wandugu naomba anayejua shida ni nini anisaidie. Kwa kweli ni...
  15. mamitod

    Mjane natafuta mgane

    Natafuta mgane 50+ kama upo serioua just PM me.
  16. mamitod

    Majina na makabila - cheka kidogo

    Kama kawaida najua kuna wale wanaojifanya much know wenye viherehere vya kutoa comments hata ambazo hazihusiani na mada yenyewe ambao hawataacha kutupia mitusi yao hapa. Ruksa kwa raha zako!!! Ktk pitapita yangu nikakutana na hawa jamaa. Duuuu majina yanavyotamkwa huwezi fikiri ndio lile...
  17. mamitod

    Hii inanitatiza sipati jibu

    Kweli tunatumia ID tuzijuaxo ssisi wenyewe. Hivi km mpenzio nae yumo humu halafu anakutana na uzi ambao umemtokea wrwe ndio umeuandika atajisikia vp halafu reaction itakuwaje? Nisaidieni wadau. Hasa mambo ya mgegedo waume wajisifia saana hlf mkeo au demu wako anakuta umeandika exactly vile...
  18. mamitod

    Ccm ni wagonjwa sans

    Salamu kwenu wana JF. Umuofiaaa!!! Nasema hawa jamaa ni wago jwa tena sana. Ugonjwa ni contagious na ni terminal n malignant. Nasema hivi kwa sababu nakumbuka ktk miaka ya 80s kulikuwepo chama kimoja tu na kulitokea ubadhirifu mkubwa sana serikslini watu wengi wakalundikwa ndani lkn tabia ile...
  19. mamitod

    Sports bar ya clouds jana mmenichekesha mpaka basi

    Huwa napenda sana kipindi cha Sports Bar cha Clouds. Naona wanaongea sana kuhusu Ndondo Cup. Sasa jana walikuwa timu ya Kauzu yule jamaa ana uwezo kweli wa kumobilize watu ila ile lugha bana aliniacha hoi. Anajitahidi anatupia lugha ya majuu basi anamwambia eti bosi wake Dr. Mwaka "tomorrow will...
  20. mamitod

    Tender za vibao vinavyoonyesha majina ya mitaa / barabara

    Naomba kujua mwenye mamlaka ya kuandika / kuweka majina kwenye mitaa au barabara husika ni nani? Na anapoandika anakuwa na ufahamu wa kina kuhusu anachoandika? Mie nimekuna kichwa mara nyingi nataka kumfungia safari mkurugenzi wa jiji naogopa nisijeitwa 'WA KUKURUPUKA' 1. UNITED NATION ROAD? 2...
Back
Top Bottom