mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Nimeudhika sana tena sana. Nimegundua kama mara tatu hivi nikijaza muda ea maongezi huduma ambayo nainunua kwao wananipa dakika kadhaa na msg ambazo huishia saa sita usiku.
Cha ajsbu juxi niliweka yatosha saa 7 usiku asbh msg hakuna hata moja lakini muda wa maongezi bado ulikuwepo japo msg sikuwahi kutumia ht moja. Jana usiku nikaweka tena yatosha saa sita na nusu usiku. Leo asbh hakuna msg ht moja muda wa maongezi ulikuwepo.
Kwa bht nikawa maeneo yenye ofisi zao nikafika nikatoa lalamiko langu. Binti Z namshukuru alinisikiliza akaniahidi ktk muda usiozidi masaa 3 ttz langu litakuwa limetatuliwa kwamba kuna mtu atanipigia kunijulisha. Baada ya saa moja kabinti kananipigia kuniuliza kitu kilekile nilichoripoti.
Akanijibu kuwa anaaripoti tena kwingine. Mpk sasa siku inaisha sijapata suluhisho la ttz langu. Hizo msg zangu zilienda wapi mara zote? Yule binti alithibitisha kwamba kweli acc yangu inaonesha hizo msg zipo ila mimi inaonesha 0 msgs.
Ukipiga simu wanakuchaji wakati hakuna opereta anayepokea simu wanakusikilisha mziki yao ya kipuuzi kwa muda mrefu mpk simu inakata. Najua wengi humu watadis kwamba nadai vitu vidogovidogo lkn wajue hakuna kikubwa bila kuanzia kidogo.
Pili kama wateja milioni wanafanyiwa hivi wanavuna kiasi gani ambavyo sio halali? TCRA wanalala hawasimamii hii mitandao ipasavyo. Wangapi mmetendwa?
NAWASILISHA