Huu ni uandishi gani jamani?

Huu ni uandishi gani jamani?

mamitod

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
914
Reaction score
385
Huu ni uandishi gani jamani? Nimekutana na baadhi ya maneno mwandishi aliyatumia akijaribu kuelezea muswada wa sheria uliowasilishwa juzi bungeni. Nimesikitishwa jinsi tunavyoharibu lugha yetu. Neno "subuliwa" lilikuwa na maana gani? "kukulukakala" ??? Shame!!

Kama ukikuwa mbali jana ndiyo siku ambayo Bunge limepokea ule mswada ambao ulikuwa umesubuliwa kwa hamu na kuzua kikilikakala bungeni wakati wa uundaji wake.
 
Mkuu kukulukakala iko sawa yaani mivutano na na misuguano baina ya pande mbili.
 
Tatizo kubwa la huyo mwandishi ni kushindwa kutofautisha herufi 'l' na 'r'. Hili tatizo limeenea sehemu nyingi hapa tanzania.
 
Mkuu kukulukakala iko sawa yaani mivutano na na misuguano baina ya pande mbili.
Na wewe acha ushamba wa lugha. Hujui bado unashadadia . Hapohapo mnataka kiswahili kiwe lugha ya kimataifa Tutaweza kweli? Hasara tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom