mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Heshima kwenu nyote. Naomba mwenye kuweza kunisaidia nipate battery ya laptop Dell ya kwangu imekufa. Chonde nina shida hiki kilaptop ndio kiofisi changu jamani toka juzi sijawasha jiko ofisi imelala. Mwenye msaada pse aweza hata kunirushia PM maana huu mtaa naujua kwa wale waliofyatuka matusi kwao chakula. Tukana tu kwa raha zako mie hunikuni upele. Ahsanteni