Tender za vibao vinavyoonyesha majina ya mitaa / barabara

Tender za vibao vinavyoonyesha majina ya mitaa / barabara

mamitod

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
914
Reaction score
385
Naomba kujua mwenye mamlaka ya kuandika / kuweka majina kwenye mitaa au barabara husika ni nani? Na anapoandika anakuwa na ufahamu wa kina kuhusu anachoandika? Mie nimekuna kichwa mara nyingi nataka kumfungia safari mkurugenzi wa jiji naogopa nisijeitwa 'WA KUKURUPUKA'

1. UNITED NATION ROAD?
2. HAILE SELASSI ROAD?
3. NKURUMAH ?

Hamuhakiki? Au na nyie mnaotoa tenda pia vilaza wala hamjui maana? Hapo kuna majina ya watu mashuhuri na hicho ni chombo muhimu duniani, sioni kwanini mnafedhehesha hivi!

Kuweni makini.

Mwanajamii changia ulichoona wewe..
 
Mkuu hayo majina ni ya miaka 60 na maji hayakuwa yanajaa pia mitaa inatolewa na tcra
 
Watakuwa wanakosea km ulivokosea ww kuandika 'chonbo mohomu' badala ya 'chombo mhimu'
 
KakaKiiza miaka ikipita na majina yanabadilika??? Hata kama jina lingekuwa la mwaka 47 halipaswi kubadikishwa kwa namna yoyote. Ina maana majina akina Washington yanabadilika? Au kuna siku tutasikia jina la Nyerere au Mandela yamebadilika kwa sababi miaka mingi imepita? Sijaelewa
 
Jaama anazungumzia ukoseaji wa kuandika majina.

Tena hapo unakuta mtu amepewa kabisa kuhakiki akasema YESSS
Sasa wengine hata wasifu wa hao wahusika hawajui,sasa inakuwa nguma kushindwa kutofautisha katia ya uandishi na matamshi ya jina
 
shule za kata hizo na division 5 ndo majanga yake hayo..wewe hujawahi siku hizi kukutana na haya hapa??
Ajabu= hajabu, shukran= shuklani, haramu= alamu, yaani kizazi hiki ni majanga makubwa sijui hao walimu wa kiswahili ni vipi.
United Nation????hakuna kitu kama hicho kabisa..ni United Nations.
 
Umeongea cha maana mkuu kwa anaefaham ni aibu kubwa. Kama wamepata ujumbe wataufanyia kazi.
 
Mkuu hayo majina ni ya miaka 60 na maji hayakuwa yanajaa pia mitaa inatolewa na tcra

mkuu tcra hawa hawa wanao 'regulate' tigo,voda,tv,radio stations??? hawa si wameanza juzi tu na hio mitaa mimi na uzee wangu nimeikuta na majina hayo.
 
KakaKiiza miaka ikipita na majina yanabadilika??? Hata kama jina lingekuwa la mwaka 47 halipaswi kubadikishwa kwa namna yoyote. Ina maana majina akina Washington yanabadilika? Au kuna siku tutasikia jina la Nyerere au Mandela yamebadilika kwa sababi miaka mingi imepita? Sijaelewa
Mkuu ukikumbuka vibao vya zamani vya kijani viliandikwa United Nations ila vya leo vya njano ni kanjanja nenda pale Aga Khan kaandika "Barack Obama dr"na bado wanaangalia inamaana hajui tofauti ya dr rd na avenue maana ile kuanzia ikulu ni avenue mtengeneza vibao kaandika dr sijui ndo nini!

mkuu tcra hawa hawa wanao 'regulate' tigo,voda,tv,radio stations??? hawa si wameanza juzi tu na hio mitaa mimi na uzee wangu nimeikuta na majina hayo.
Hao hao ndo wahusika wakuu kwa zamani ninani alisimamia wasiliano? Hivyo kama ilikuwa wizara au idara basi kitengo hicho kipo tcra kwasiku hizi.
 
Back
Top Bottom