mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Huwa napenda sana kipindi cha Sports Bar cha Clouds. Naona wanaongea sana kuhusu Ndondo Cup. Sasa jana walikuwa timu ya Kauzu yule jamaa ana uwezo kweli wa kumobilize watu ila ile lugha bana aliniacha hoi. Anajitahidi anatupia lugha ya majuu basi anamwambia eti bosi wake Dr. Mwaka "tomorrow will have a team"anatafsiri mwenyewe "kesho tutaleta timu" anaendelea "i talked to him between yesterday" "niliongea nae jana" "we do anything" daah aliendelea mimi mbavu sina. muwe mnatuwekea huyo jamaa mara kwa mara aisee. Aliyeangalia anaweza ongeza.