Search results

  1. wambagusta

    Kwani mimi nakwama wapi? Kila jamaa yangu nikitaka kufanya nae kazi ananikwamisha

    Kuna jamaa Zangu wapo vijijini wawili wapo masasi na mwingine yuko Lind vijijini Ruangwa. Hawa jamaa Zangu wa masasi kuna mmoja kila nikimwambia jambo lenye mafanikio yupo yupo tu ila nikimwambia nimepata majanga kwenye ile inshu ananicheka mpaka nikamuliza wewe mbona kila nikipata majanga...
  2. wambagusta

    Msahada wakuu ndoto Tata

    Wakuu naombeni ushauri nimeota ndoto kama mara mbili zinanitokea point namuota x wangu ananililia na kuniarahumu kwanini nimemuacha zinanitokea baada ya mimi kuwa na mahusiano na binti mwingine na kabla ya mahusiano mapya na huyu binti nirimuomba nakumuomba tuyasahau ya nyuma alikataa ila...
  3. wambagusta

    Hivi Huyu Ni Kweli Mke Wa Mtu Au Story

    Ameniambia Yeye Ni Mke Wa Mtu Lakini Na Chati Nae Mpaka Saa Sita Usiku Kila Siku Akitaka Kulala Anasema Nimpigie Au Anapiga Yeye Anacho Niambia Anataka Kusikia Sauti Yangu Tu Na Nikimwambia Nipo Single Anafurahi Nikimwambia Ninaye Girlfriend Anachukia Na Lawama Kibao
  4. wambagusta

    Naombeni msaada wa kupata leseni ya biashara kati ya bara visiwani

    Hivi Kibali au leseni ya kufanya biashara kati ya Zanzibar na bara unapataje mfano unapereka mazao visiwani
  5. wambagusta

    Haaa haaa !Duh Hii Kali Dada kajanja kwenye ubora wake

    Atimae nimeaachwa baadaa ya kumwambia sina pesa ya kukununuria nguo ya sikukuuu na kuambiwa nimefulia yeye sio mama uruma
  6. wambagusta

    Naombeni ushauri kuhusu madai yangu ya NSSF

    Niliachishwa kazi toka mwaka 2016-2017 sikufuatilia nilisafiri nje ya nchi. Sasa nimerudi nikaenda NSSF wakanipa fomu ya kujitoa nikajaza nikawarudishia. Baada ya kumaliza harakati zote, wakaniambia watapiga simu lakini mpaka leo kimya. Madai ya kujitoa niliandika 15/1/2018
  7. wambagusta

    Walahi huyu Pasua kichwa bado hajabadilika

    Baada ya kumwambia nina mpango Wa kusafiri tena nje ya nchi ataki amenuna na nikimpigia cm ananijibu kwa hasira mara ooo nimeshatorewa barua visa kibao
  8. wambagusta

    How come !!wasichana kila kitu poa tu

    Hivi wasichana inakuwaje mfano boyfriend wako hapo nyuma ulimuwacha tena kwa kilio ukisema sitaki kila akilazimisha unasema utaki naye akasema poa baaada ya mwaka mmoja Huyo huyo boyfriend wako akajipendekeza tena kwako akijuwa utamkazia kama mwanzo cha ajabu unajirahisisha kwake na kumwambia...
  9. wambagusta

    Naombeni msaada jinsi ya Kujiunga na Chuo cha Ubaharia Posta (DMI)

    Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia (DMI) )kozi zake kina anzia pesa kiasi gani. === UFAFANUZI NAMNA YA KUJIUGA NA CHUO CHA DMI Applications for admission are invited from qualified individuals (Tanzanians and non-Tanzanians) wishing to pursue various Degree programmes...
  10. wambagusta

    Naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia posta ( DMI )

    Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia (dmi )kozi zake kina anzia pesa kiasi gani
  11. wambagusta

    Kila nikigombana nae napatwa na mauzauza

    Kila nikigombana naye lazima usiku nipate shida aidha nakimbizwa au watu wamenikamata wanataka wanifanyie kitu mbaya. Kingine ambacho kina utata mfano nikitaka kumgegeda dhakari yangu nikitaka kuweka kwenye papuchi yake inazima kabisa lakini kwa wengine fresh nagegeda nagombana nao usiku nalala...
  12. wambagusta

    Naomba kufahamu kwanini baadhi ya madada kuwa na ndevu

    wadauu .sometimez uwa napasuka kichwa lakin sipati jibu point hivi hawa baadhi ya dada zetu kuwa na ndevu ni sawa au ndio mwisho wa dunia
  13. wambagusta

    Majanga, nina damu ya kunguni

    ni kama best friend hivi ! tatizo yeye akipiga story na wanaume mie nikiona na chukulia poa maana sio mchumba wangu .lakini mie akiniona na piga story na msichana anachukia na hata nikimpa hai ataki
  14. wambagusta

    Wadada wa uswahilini punguzeni njaaa! Wengine sisi ni watu wa mungu!

    Kwanza alisema ile simu uliyonipa kipindi kile nimeuza, nikamtafutia simu nyingine. Baada ya mwezi nikamuona na ile simu aliyosema kauza. Nikamwambia vipi mbona unayo? Anajichekesha. La pili wakati nipo likizo nikaondoka gheto(chumba cha kupanga), sio mbali na home ni hapahapa town. Akanibeep...
  15. wambagusta

    Njia panda

    msichana umri wake 21. , mvulana umri wake 25 hivi wadau hapo kuna mapenzi au kupotezeana muda
  16. wambagusta

    Maisha ya kupanga usimfurahishe mtu

    Maisha ya uswazi kwenye nyumba ya kupanga nilikuwa poa sana kipindi cha nyuma mfano umeme ukikatika ghafla. Mimi uwanajitolea kununua hili tusilale kiza na hili joto lisitutese hata kama mchango ulishapita kumbe nilivyokuwa na fanya vile wezangu walikuwa wanachukia. Sasa nimesitisha...
  17. wambagusta

    Ushauri: Nimepishana maneno na mama mwenye nyumba naota vibaya

    Toka tupishane maneno na bi house, kuna mambo yana nitokea usiku naota na lazimishwa kumeza vitu fulani.
  18. wambagusta

    Haya maisha! Ama kweli kuwa uyaone

    Mpangaji 1 alikuwa ana tumia zuli langu yeye na mumewe nikawaambia ukweli wakanikasirikia. Mpangaji wa 2 siku moja nilikuwa naanika nguo yangu kwenye kamba bahati mbaya nikaangusha nguo za mtoto wake akanisema kwanba nimeangusha nguo hizo kwa makusudi akanishatakia kwa bibi house akasema...
  19. wambagusta

    Wabongo tunaoishi uswahilini tubadilike! Life goes on

    Wabongo tuishio uswahili bhana shida sana ukimkosea kidogo tu shida. mfano amekusalimia ujamsikia vizuri ujamuitikia atakuambia haya maisha tu . Nao Mademu watakuambia unadharau sana au unajiona sana .
  20. wambagusta

    Kwanini mimi?

    Kwa ufupi mie ni mcheshi sana sometimes wananitoa mpaka akili mie nachukulia poa lakini Nikiamuwa kubadilika na nikawapotezea ! no salaamu no everything wanalalamika na hii imekuwa ata kwa ndugu zangu mpaka kwa girlfriend angu nikiona wanaleta dharau au ananiletea dharau nikipiteza tu wanalalamika
Back
Top Bottom