wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,332
Atimae nimeaachwa baadaa ya kumwambia sina pesa ya kukununuria nguo ya sikukuuu na kuambiwa nimefulia yeye sio mama uruma
CHAMA CHA WAGUMU = CHACHAWAKaribu ktk ulimwengu wa wagumu, a.k.a CHAPUTA
Hivi uko serious au unamtania???Kwa muandiko huu..kuachwa ni lazima
Babe Kwani bado wewe ni Chairman [emoji4]CHAMA CHA WAGUMU = CHACHAWA
SIO CHAPUTA MKUU
Jana ilikuwa sababu ya kumuulia tuuKwa muandiko huo hata mimi ningekuacha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli kwa muandiko huo hawezi akawa na SwagaJana ilikuwa sababu ya kumuulia tuu
Ila kijana inaoanekana hana swaga