wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Maisha ya uswazi kwenye nyumba ya kupanga nilikuwa poa sana kipindi cha nyuma mfano umeme ukikatika ghafla.
Mimi uwanajitolea kununua hili tusilale kiza na hili joto lisitutese hata kama mchango ulishapita kumbe nilivyokuwa na fanya vile wezangu walikuwa wanachukia.
Sasa nimesitisha wanalalamika umeme haukai mother house anataka apandishe bili ya umeme.