Hivi Huyu Ni Kweli Mke Wa Mtu Au Story

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,804
2,252
Ameniambia Yeye Ni Mke Wa Mtu Lakini Na Chati Nae Mpaka Saa Sita Usiku Kila Siku Akitaka Kulala Anasema Nimpigie Au Anapiga Yeye Anacho Niambia Anataka Kusikia Sauti Yangu Tu Na Nikimwambia Nipo Single Anafurahi Nikimwambia Ninaye Girlfriend Anachukia Na Lawama Kibao
 
Mkuu huyo hataki uweke kambi, anataka awe free so kama anafaa kwa matumizi wewe Gegeda then endelea na shughuli zako, huo mwingine wa kuchukia ukiwa na mtu ni utapeli kama utapeli mwingine..

Acha anasa
 
Ameniambia Yeye Ni Mke Wa Mtu Lakini Na Chati Nae Mpaka Saa Sita Usiku Kila Siku Akitaka Kulala Anasema Nimpigie Au Anapiga Yeye Anacho Niambia Anataka Kusikia Sauti Yangu Tu Na Nikimwambia Nipo Single Anafurahi Nikimwambia Ninaye Girlfriend Anachukia Na Lawama Kibao
Siku yako ya kukamatwa iko karibu mno.

Ke akishakuwa na kauli mbili; "nina mume, sina mume ".
My friend, amini ameolewa tu.

Siku ukishakolezwa na penzi lake ndipo muda mume wake watakuwa pamoja, nawe utajishebedua kumtafuta, then utakamatwa easier.
 
Haya sisi tunakusikilizia tuu mkuu. Kikubwa usisahau kutuletea mrejesho pindi KY itakapo fanya kazi yake.
 
Ameniambia Yeye Ni Mke Wa Mtu Lakini Na Chati Nae Mpaka Saa Sita Usiku Kila Siku Akitaka Kulala Anasema Nimpigie Au Anapiga Yeye Anacho Niambia Anataka Kusikia Sauti Yangu Tu Na Nikimwambia Nipo Single Anafurahi Nikimwambia Ninaye Girlfriend Anachukia Na Lawama Kibao
Mme wake anaweza kuwa mlinzi.
 
Yani kuna muda mtu unapata utamu mpaka unahisi sijui ufanye nini??
Mungu fundi sn,alitengeneza!!!
 
Back
Top Bottom