wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,332
Hivi wasichana inakuwaje mfano boyfriend wako hapo nyuma ulimuwacha tena kwa kilio ukisema sitaki kila akilazimisha unasema utaki naye akasema poa baaada ya mwaka mmoja Huyo huyo boyfriend wako akajipendekeza tena kwako akijuwa utamkazia kama mwanzo cha ajabu unajirahisisha kwake na kumwambia poa .swali kwanin mnakuwa rahisi rahisi sana tunataka mtukazie .kila kitu ukimwambia poa tu how come jaman mnatupa wasiwasi