wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,332
Baada ya kumwambia nina mpango Wa kusafiri tena nje ya nchi ataki amenuna na nikimpigia cm ananijibu kwa hasira mara ooo nimeshatorewa barua visa kibao
Ausio boyTatizo lenu mkienda South Africa 'Dizonga' cha maana mnachorudi nacho ni cheni za silver na kuvaa heleni sikioni, mwache aolewe.
Hakiki
Ataki= hataki,
Nimeshatorewa= nimeshatolewa
Wa=wa
cm=simu
Umeonaeh !!Mwambie ukirudi ukute keshaolewa
Dawa ya moto maji
Ha haa! Mkuu, umenigusa, last time nilipoenda S.A sikurudi na chochote cha maana zaidi ya cheni ya silver tena silver ya kuchovya. That was way back in 2013!Tatizo lenu mkienda South Africa 'Dizonga' cha maana mnachorudi nacho ni cheni za silver
Hamna anazingua tu kwani ujui wabongo kazi yao majunguu tuHa haa! Mkuu, umenigusa, last time nilipoenda S.A sikurudi na chochote cha maana zaidi ya cheni ya silver tena silver ya kuchovya. That was way back in 2013!
Duh..... ana mimba?Baada ya kumwambia nina mpango Wa kusafiri tena nje ya nchi ataki amenuna na nikimpigia cm ananijibu kwa hasira mara ooo nimeshatorewa barua visa kibao
Ndio kifimbo cheza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo lenu mkienda South Africa 'Dizonga' cha maana mnachorudi nacho ni cheni za silver na kuvaa heleni sikioni, mwache aolewe.
Hakiki
Ataki= hataki,
Nimeshatorewa= nimeshatolewa
Wa=wa
cm=simu
Mnakimbia nchi. Tembeeni vifua mbele..Nenda bana mwenyewe nkipata upenyo sirudi
nimecheka cc fulan pitia pande hizTatizo lenu mkienda South Africa 'Dizonga' cha maana mnachorudi nacho ni cheni za silver na kuvaa heleni sikioni, mwache aolewe.
Hakiki
Ataki= hataki,
Nimeshatorewa= nimeshatolewa
Wa=wa
cm=simu
Mnakimbia nchi. Tembeeni vifua mbele..
Vifuwa mbele, wowowo nyuma.Mnakimbia nchi. Tembeeni vifua mbele..
Hahahaaa.nimecheka cc fulan pitia pande hiz
AsanteTatizo lenu mkienda South Africa 'Dizonga' cha maana mnachorudi nacho ni cheni za silver na kuvaa heleni sikioni, mwache aolewe.
Hakiki
Ataki= hataki,
Nimeshatorewa= nimeshatolewa
Wa=wa
cm=simu