wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Mpangaji 1 alikuwa ana tumia zuli langu yeye na mumewe nikawaambia ukweli wakanikasirikia.
Mpangaji wa 2 siku moja nilikuwa naanika nguo yangu kwenye kamba bahati mbaya nikaangusha nguo za mtoto wake akanisema kwanba nimeangusha nguo hizo kwa makusudi akanishatakia kwa bibi house akasema ananichukia. Hivi sasa mie na yeye hatuongei.
Bibi house naye juzi kanipigia simu wakati nipo kazi ananiambia anataka kufungua dish langu la Azam kwenye kibaraza anataka afanye service kule juu na alipo fanya hiyo services tofauti na nanilipo funga dish ok sawa hiyo anayo mamlaka kwasababu ni nyumba yake lakini cha kushangaza kurudishia ataki leo asubuhi anajishtukia.
Na huku kazini jamaa mmoja aliwai kunitamkia maneno ya kejeli na dharau nikaamua kumpotezea kuepusha ugomvi kanipa hai nimemkataa analalamika.