Naomba kufahamu kwanini baadhi ya madada kuwa na ndevu

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,825
2,291
wadauu .sometimez uwa napasuka kichwa lakin sipati jibu point hivi hawa baadhi ya dada zetu kuwa na ndevu ni sawa au ndio mwisho wa dunia
 
Unashangaa ndevu tu?
Sasa ukiwaona wenye Garden love si utatamani kufa wewe?
Mbona ni kitu cha kawaida sana, hizo ni genertic disorders za kawaida kama kuwa na dimples, colour blindness au defective tongue roll.
 
Sidhani kama unapasuka kichwa kweli usingeandika uliyoandika
 
umenogesha mkuu!! kichwa kiNapasukaje kwamfano!!!! anyway wakupe majibu maadam ata mim zinani nyemelea adi kero!!!! ukisubuthu kutoa kam1 umeua zitakuj ziszo na idadi,,, sijui kwa nini!!.
 
kuna sababu za asili yani genetics na matumizi ya vitu vyenye kemikali zinazofanana na hormones kama aina za vipodozi na vyakula.
 
Kuna_mmoja_ninashare_nae_hapa_ofisini.
Cha_kushangaza_hajawahi_kuzinyoa_zinakua_tu.

Ila_wanawake_wa_hivyo_wanajiamini_sana.
 
Unashangaa ndevu tu?
Sasa ukiwaona wenye Garden love si utatamani kufa wewe?
Mbona ni kitu cha kawaida sana, hizo ni genertic disorders za kawaida kama kuwa na dimples, colour blindness au defective tongue roll.
Mkuu umenikumbusha classmate wangu ana garden love ya hatari halafu kituko ni nguo anazovaa sasa nusu ya kifua chote kinakuwa kinaonekana, ni hatariiii
 
Kuna tetesi wadada wenye ndevu wana nyota sana kwa mwanaume ukilala nae unapata bahati.

Angalizo zisiwe ndevu nyingi ni wale tu unakuta anazo 1, 2, 3, 4. Kama huamini kajaribu na utoe mrejesho kama madeni yako yataongezeka ama kupungua
 
Back
Top Bottom