Msahada wakuu ndoto Tata

Msahada wakuu ndoto Tata

wambagusta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
2,840
Reaction score
2,332
Wakuu naombeni ushauri nimeota ndoto kama mara mbili zinanitokea point namuota x wangu ananililia na kuniarahumu kwanini nimemuacha zinanitokea baada ya mimi kuwa na mahusiano na binti mwingine na kabla ya mahusiano mapya na huyu binti nirimuomba nakumuomba tuyasahau ya nyuma alikataa ila nikitaka tuonane kwa story alikubari lakin mapenzi basi baada ya kuchafua hivyo nikajiongeza kuchukua binti mwingine na mawasiriano kwake nimekata na namba yake ya simu nimefuta kwa sababu siitaji nipoteza mda kwake na sitaki nimfosi maana sijui mungu anaepusha nini kwangu na kwake lakin tatizo ndoto zinanirudia rudia sijui zinamaanisha nini .angarizo samahanini kwa mwandiko wangu kama nimekosea kuzipangiria herufi vizuri
 
Hayo ni mawazo yako tu bro yanakutesaa Wala hujachawiwaa penginee kidizainii ilee unamkubalii kwanamnaa yeyotee vilee unavyoo muwazawazaa hupelekeaa hizo ndotoo
 
Kweli mkuu hapo bado anamkubali huyo manzi na kumuwaza sana ndo inapelekea kumuota.
 
Wakuu naombeni ushauri nimeota ndoto kama mara mbili zinanitokea point namuota x wangu ananililia na kuniarahumu kwanini nimemuacha zinanitokea baada ya mimi kuwa na mahusiano na binti mwingine na kabla ya mahusiano mapya na huyu binti nirimuomba nakumuomba tuyasahau ya nyuma alikataa ila nikitaka tuonane kwa story alikubari lakin mapenzi basi baada ya kuchafua hivyo nikajiongeza kuchukua binti mwingine na mawasiriano kwake nimekata na namba yake ya simu nimefuta kwa sababu siitaji nipoteza mda kwake na sitaki nimfosi maana sijui mungu anaepusha nini kwangu na kwake lakin tatizo ndoto zinanirudia rudia sijui zinamaanisha nini .angarizo samahanini kwa mwandiko wangu kama nimekosea kuzipangiria herufi vizuri
unajua kuwa unafanya uzinzi, you are in devil kingdom,
 
Poa wakuu na wadau wote asanteni kwa ushauri wenu na pia mnisamehe kwa mwandiko wangu Nash India kuzitofautishaga R L
 
Safi sana mkuu Kiswahili nachokigumu japo ni lugha yetu ata shureni vijana wanakosaga Ila Asante kwa kuchangia
 
Hayo ni mawazo yako tu bro yanakutesaa Wala hujachawiwaa penginee kidizainii ilee unamkubalii kwanamnaa yeyotee vilee unavyoo muwazawazaa hupelekeaa hizo ndotoo
Inawezekana ni kweli mkuu big up sana kwa kuliona ilo maana nilimpenda sana salute
 
Aisee, hbr yote hii nimeona nukta moja tu...kwa sasa achana na ndoto hebu jifunze kuandika mkuu!
Pouwaa mkuu pia asante kwa kuniambia niachane na hizo ndoto niwe na juhudi za kujenga taifa na kujifunza kuandika vizuri Kiswahili big up mkuu
 
Mi mtu aneweka r badala ya l huwa sijui namuonaje
Ni athari za lugha ya mama (Kikurya/Kihaya/Kikerewe) katika lugha ya pili (Kiswahili). Hata mtu asome namna gani inakuwa shida kweli kuepukana na makosa hayo" r na l zinachanganywa na irabu zinawekwa zisipotakiwa na kuondolewa zinapotakiwa..

Kunilaumu inakuwa kunirahumu...n.k
 
Back
Top Bottom