Naombeni ushauri kuhusu madai yangu ya NSSF

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,804
2,252
Niliachishwa kazi toka mwaka 2016-2017 sikufuatilia nilisafiri nje ya nchi. Sasa nimerudi nikaenda NSSF wakanipa fomu ya kujitoa nikajaza nikawarudishia. Baada ya kumaliza harakati zote, wakaniambia watapiga simu lakini mpaka leo kimya.

Madai ya kujitoa niliandika 15/1/2018
 
Hakuna taasisi hovyo kama hawa Ma Mbwaa ni wajinga hakuna mfano
Mm na wenzangu baadhi tuliambiwa tusbiri miezi sita ipite baada ya mktaba kuisha tukasubiri kama unavyojua cku hazigandi miezi ikaisha na January mwaka huu tukaenda kujaza form zao kama waida wakadai turudi mwezi wa tatu mwaka huu tumeenda baada ya tarehe kufika wanasema ma file hayajashughulikiwa hivyo twende mwezi wa NNE tena
Yaani hawa mbwa wamekwamisha mipango yangu na wanaendelea kunicheleweshea mafanikio yangu kumanina zao kabisa
Yamekalisha matako tu humo maofisini bila hata kujali kua hizo ni pesa zetu idiot kabisa
 
Mdogo wangu anasota tangu mwezi wa 6 mwaka jana hadi leo hii! Mwezi wa tatu kaambiwa arudi tena mwezi wa sita
 
Hao jamaa nsssf kiukweli wanakera sana jamaa yangu toka mwaka jana mwezi 5 wanamzungusha kazi yao kunenepeana tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom