Search results

  1. W

    Afande Mangu, Mh Rais amekuamini na wa WaTanzania bado wanakuamini; Jihadhali na watu kama Kova

    Afande Mangu, Sisi waTanzana tunataka Jeshi la Posi liwe na weledi kama Majeshi mengine ya Polisi duniani. Hivi sasa jeshi lapolisi limesababisha wananchi wengi kujiichukulia sheria mkononi-hawaliamini. Watu wanauawa na majambazi na polisi wakiitwa, inawachukua muda mrefu kupindukia kufika...
  2. W

    Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    Ndg wana JF., nimepewa taarifa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika kuwa aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini (CHADEMA) mwaka jana, Bw. Shelembi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ktk hospitali ya Mkoa Shinyanga. Alipelekwa huko usiku akiwa na BP ya juu. Mungu ailaze mahalipema...
  3. W

    Mdahalo kati ya wagombea wa urais 2010

    Ndg zangu, uchaguzi umeisha, lakini ndo unaanza tena! Naomba kuwaomba wagombea wa urais wa 2010 wamalize tofauti zao kwa kufanya mdahalo wa tadhmini ya ahadi zao walizozitoa wakati wa kampeni. Kufanya tathmini baada ya siku 100 za mwanzo ni jambo la kawaida. Hii itasaidia ama vyama vyao au...
  4. W

    Watu wamesisimka sana kumwona Dr. Slaa bungeni leo

    Katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" Kumbe wanaonyeshana Dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi Mh. Makinda alivyokuwa akimfagilia! Nilishangaa zaidi nilipoona watu wengi waliosisimka ni wa vyama vyote! Baada ya hapo, mtaani...
  5. W

    Matokeo ya Form4 Uganda juu 80% wafauru!

    Nimeshangaa sana wajameni. ITV leo usiku, taarifa yao inasema matokeo ya FORM4 inchini Uganda yametoka. Walifauru ni 80%. Sisi je? Tafakari!
  6. W

    Kweli Mh.Makamba anafurahisha!

    Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na pilau...mnywe uji kabisa nyumbani, mchana pilau hapahapa....msije aguka..." Nawasilisha!
  7. W

    TBC hawajaonyesha Maandamano Misri

    Wajameni, leo kwemye taarifa ya usiku saa 2 mbona sijaona TBC wakionyesha maandamano ya Misri? Ndo kusema hayana umuhimu wowote? Nawasilisha?
  8. W

    Watoto wa mitaani ni Bomu linalosubiri kulipuka: Watawala amkeni

    Ndg wana JF. Siku zote huwa naguswa sana na hawa watu wanaoitwa watoto wa mitaani. Mara nyingi hawa watoto hawana baba na mama, na wakati mwingine hawana ndugu kabisa. Watoto hawa hulandalanda mchana na kulala popote usiku. Hupigwa jua mchana na baridi usiku. Wakiomba chakula hufukuzwa na...
  9. W

    Tumwamini nani matokeo ya kidato channe? TBC1, ITV au StarTV?

    Taarifa za saa 2 usiku huu toka Televisheni za TBC1, ITV na StarTV zinapishana. Pamoja na kwamba, kimsingi, ITV na StarTV wanaonyesha kuwa ufauru umeshuka (StarTV wanaonyesha ~ 22%, ITV kadri ya 50%), TBC1 wanaonyesha ufauru umeongezeka. Kama mimi sijaelewa, naomba mnisaidie jamani. Sasa...
  10. W

    Awamu ya matamko, maandamano na Intelijensia

    Upepo wa maandamano. Unaandamana na ma Tamko. Na kabla ya Tamko kuna habari za kiintelijensia. Wanaotoa taarifa za kiintelijensia kwa sasa ni Polisi...Who cares. Nimeuona upepo huu ukitokea Afrika ya Kaskazini, walao kwa mwaka huu. Watu wanaandamana (Tunisia, Algeria) na kuna dalili kama hizo...
  11. W

    Mh. Pinda na Wahadhiri UDOM, Akiri UDOM kuna tatizo

    Taarifa za kuaminika kutoka UDOM zinasema kuwa, Mh. Mizengo K.P. Pinda, leo alikuwa na mkutano na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa takribani masaa 3. Akiwa Chuoni hapo wahadhiri waliimba nyimbo za Solidality, na walionekana kuwa hawako tayari kuletewa siasa kwenye madai yao...
  12. W

    Ma Rais wanaoheshimika Afrika

    Ndugu zangu, ninaomba kujua ma Rais wanaoheshimika sana Afrika (hata kama ni wastaafu); wa kwanza hadi wa mwisho. Wasioheshimka wasiandikwe hapa. Naomba tutoe na sababu za (michango yao au ubunifu wao) kuheshimika kwao na ikibidi CV zao. Kama huna hoja (uthibitisho wa unayoyasema), usichangie...
  13. W

    Katiba kupatikana kwa kupambana na Polisi?

    Tokea vuvuvugu la Katiba mpya lipambe moto hasa baada ya Uchaguzi wa mwaka huu 2010, polisi nao wanaonekana kutoa mwongozo wa namna ya kudai Katiba. Kama siyo usanii walioufanya jana Jijini Dar Es Salaam, basi ni dhahiri kuwa hawajui wajibu wao. Huwezi kumzuia mtu kuandamana masaa machache kabla...
  14. W

    Dr. Slaa apewe PhD ya heshima

    Dr. Wilbroad Slaa ameonyesha ukomavu wa kisiasa, uzalendo na moyo wa Upendo kwa Taifa letu. Watu wengi walidhani kuwa angekuwa mtu mwenye tamaa ya madaraka, taifa letu leo lingelikuwa kwenye vita kali. Dr. Wilbroad Slaa, alisema, yeye si mdini, na kweli haja hubiri udini wowote wakati wa...
  15. W

    Sifa za Waziri Mkuu

    Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mawaziri wote na ndiye Kiraanja Mkuu wa Kazi za kila siku za serikali, hivyo anapaswa awe: 1. Mkali, asiyeonea na ambaye haonei mtu, watu, taasisi, nk, 2. Asiwe fisadi, wala mtu aliyewahi kuwa fisadi ili kutoa dira/ mwongozo kwa mawaziri wake na kwa bosi wake, 3. Hapaswi...
  16. W

    Elections 2010 Sala ya kuiombea Tanzania baada ya uchaguzi

    Mungu uko wapi. Mbona Tanzania inaanza kupoteza mwelekeo kwa haraka? Watu wanapenda mali na madaraka na UPENDO baina yetu unafifia. Au ndo utimilifu wa maandiko Matakatifu kwamba siku za mwisho watu watapenda mali kuliko kukupenda wewe? Shuka MUNGU, SHUKA HARAKA. Tusamehe Baba pale...
  17. W

    Elections 2010 Amani na Haki ni msingi wa AMANI YA KWELI

    Mimi najiuliza, maana ya amani ni nini? Je, amani bila haki ipo? Je, ukiibiwa kisha ukaambiwa LINDA AMANI inakuwaje hapo? Tazama Start TV sasa hivi
  18. W

    Elections 2010 Kumbe askari nao wanapenda CHADEMA?

    Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA VYA MAJI' Ndipo wao hulipua mabomu juu, kutii amri waliyopewa. Wakati wa uchaguzi pia walitoa...
  19. W

    Elections 2010 Mungu uko wapi: Mabomu ya nini-Tulipokukosea TUSAMEHE

    Mungu wetu; Ulitupatia Tanzania na watu wake (nikiwemo mimi, na wengine), mbona sasa unaruhusu watu wako wapigwe mabomu kisa wamechagua UPINZANI? Je, wapinzani si wa Tanzania? Je, hakuna sehemu mume na mke wana vyama tofauti? baba na babu vyama tofauti? Shangazi na mjomba vyama tofauti...
  20. W

    Elections 2010 TBC-Matokeo ya rais kitaifa yanasomwa

    Matokeo yanasomwa kitaifa na Lewis Makame
Back
Top Bottom