Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Ndg wana JF., nimepewa taarifa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika kuwa aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini (CHADEMA) mwaka jana, Bw. Shelembi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ktk hospitali ya Mkoa Shinyanga. Alipelekwa huko usiku akiwa na BP ya juu.

Mungu ailaze mahalipema peponi roho ya marehem Shelembi..... Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe.
 
Habari kutoka chanzo makini cha mjini Shinyanga zinasema kuwa Lile jembe la Chadema liloporwa ushindi wa ubunge wa Shinyanga mjini na CCM amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo. Ntawaletea habari zaidi hapo baadae.
 
Mungu ailaze pema roho ya marehemu.


Kwa hiyo ile kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimboni hapo ndiyo nayo imekufa hivyo?
 
Mungu ailaze pema roho ya marehemu.


Kwa hiyo ile kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimboni hapo ndiyo nayo imekufa hivyo?
Kuna tetesi zisizothibitishwa kwamba uchaguzi uliamuliwa urudiwe
 
Mungu amrehemu bwana Shelembi. (naomba kujuzwa)marehemu nasikia alikuwa ni diwani!
 
Nipigo kwa chama na kwa wanchi wa Shinyanga kwani nasikia alichakachuliwa kwa kura moja 1....

Mungu ailize roho ya marehemu mahara pema peponi...AMENI
 
kuonyesha wewe ni shujaa ... umepumzika katika kipindi hiki cha pasaka .... RIP
 
Haya Bana Mh. masele. mbunge wa shinyanga aliyechaguliwa na wananchi ndo huyooo kapotea. sasa shinyanga wanawakilishwa na mbunge wa tume mh. mchakachuaji masele.
 
Back
Top Bottom