W We can JF-Expert Member Sep 4, 2010 678 47 Nov 7, 2010 #1 Mimi najiuliza, maana ya amani ni nini? Je, amani bila haki ipo? Je, ukiibiwa kisha ukaambiwa LINDA AMANI inakuwaje hapo? Tazama Start TV sasa hivi
Mimi najiuliza, maana ya amani ni nini? Je, amani bila haki ipo? Je, ukiibiwa kisha ukaambiwa LINDA AMANI inakuwaje hapo? Tazama Start TV sasa hivi