Matokeo ya Form4 Uganda juu 80% wafauru!

Matokeo ya Form4 Uganda juu 80% wafauru!

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
678
Reaction score
49
Nimeshangaa sana wajameni. ITV leo usiku, taarifa yao inasema matokeo ya FORM4 inchini Uganda yametoka. Walifauru ni 80%. Sisi je? Tafakari!
 
...80% wafauru! rekebisha kwanza ndo tuchangie kwani naona kama vile umeandika kikara kama si kizanaki!!
 
Its no secret, you can not compare mango and apples!
 
Usilinganishe na ya hapa Tz, matokeo yetu ndio hali halisi ya perfomance yetu. Miaka ya nyuma mitihani ime leak sana isipokuwa mwaka jana.
 
Back
Top Bottom