Search results

  1. faithful

    Nahitaji mtaalamu wa kushona vitenge

    Wana JF haswaa wadada but na wakaka pia,naomba maelekezo alipo fundi anayesifika jijini Dar es salaam mtaalamu wa kushona mishono ya vitenge ambae sio mswahili wa njoo kesho njoo kesho kutwa.
  2. faithful

    JK Kutangaza wakuu wapya wa Mikoa?

    taarifa nilizozipata kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba orodha ya wakuu wa mikoa tayari imeshaandaliwa! wale ma rc waliodondoka kwenye majimbo wote imekula kwao, wale wote ambao ni wabunge hawatapata u r.c kwani hakuna kofia mbili. kuna ma dc vijana ambao wamefanya vizuri katika wilaya zao...
  3. faithful

    Jaji Othmani Makungu ateuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar

    hongera sana jaji makungu mungu akuongoze kutenda haki!
  4. faithful

    doctor cheni!utunzi wa filamu huweezi baki tu kuwa mwigizaji!!!!!

    wadau nimetazama filamu moja ya kibongo inaitwa one by one yaani dhamira ya mwandishi haieleweki haileweki!nikagundua ameitunga cheni anaejiita doctor.inaonekana jamaa hata ile general knowledge ya fasihi hana.ni kama hadithi kumi ndani ya stori moja na hazina mwanzo wala mwisho! nashauri...
  5. faithful

    maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

    mambo vipi?jamani wenyeji wa jiji la dar nielekezeni maduka bomba ya nguo za kisasa kama vile suit za kike,viatu,na nguo zingine za kisasa nipo hapa jijini kwa muda na sina mwenyeji. sitaki kwenda kariakoo. bei ziwe za wastani sio yale maduka sigiria tu laki moja! ninatanguliza shukrani!
  6. faithful

    Elections 2010 CUF wafanya unyama Tandahimba!

    baada ya matokeo ya ushindi wa ccm kutangazwa tandahimba cuf wapingana na matokeo kwa kufanya vurugu wachoma nyumba na gari la mshindi moto... hiyo ni demokrasia gani?
  7. faithful

    watanzania gani wamepata umaarufu katika uongozi ndani ya serikali ya awamu ya nne?

    Wadau mambo vipi?kabla ya serikali ya awamu ya nne kuingia madarakani kuna watanzania ambao walikuwa hawajulikani kabisa.ila baada ya kushika nyadhifa mbalimbali wamejulikana kwa watanzania wengine! baada ya miaka mitano ya uongozi wa serikali ya awamu ya nne kukaribia ukingoni siku chache...
  8. faithful

    matumizi ya mastaa wa kike bongo!!!!!

    wadau mambo vipi? nimesoma gazeti moja pendwa linalotoka alhamisi nikapata hii stori ngoja niwape kwa ufupi eti mastaa wa kike bongo wanadaiwa kuwa na matumizi makubwa ya pesa kwa siku ili kulinda umaarufu wao....................hii ni pamoja na kuepuka kupanda daladala,hivyo kutumia gari za...
  9. faithful

    Elections 2010 nani yupo sahihi kwa hili kati ya silaa na lipumba?

    Wadau mnaotambua kwa undani katiba ya nchi na pia mnaoifahamu demokrasia ya vyama vingi naomba mnipe elimu kidogo.................nimefatilia kampeni za uchaguzi kwa makini sana haswa vyama vya upinzani...nimeona lipumba akifika kwenye mkoa fulani anaanza kwanza kuripoti ofisi za serikali kama...
  10. faithful

    Nape Nnauye atulizwa, ateuliwa DC Masasi

    Nape nnauye ateuliwa kuwa d.c wa masasi!!!!
  11. faithful

    Elections 2010 Viongozi wa serikali wanafanya hili kwa utashi wao au ni sehemu ya uongozi?

    Wadau tafadhali naomba nielimishwe!kwenye uchaguzi mwaka huu nimeona mengi mapya ambayo hayakuwepo miaka ya nyuma.....mfano utakuta baadhi ya viongozi wakubwa wa wilaya na mikoa wanawapokea vema wagombea mbalimbali wa uraisi bila ubaguzi wa vyama vyao na wengine wanahudhuria mikutano yao na...
  12. faithful

    Jamani huyu shemeji kaka nimsemee au nichune tu!

    wadau mambo yenu? mwenzenu niko kikazi kwenye mji fulani,ni miezi 9 sasa.naishi peke yangu. nimetokea kuwa karibu na dada fulani ambae ofisi zetu zipo karibu.mwanzoni tulikuwa tunakuwa pamoja lunch time. baadae ushost ukanoga hadi majumbani kwetu na ulinoga zaidi alipogundua mimi na mumewe ni...
  13. faithful

    Je ni kweli wanawake wa tanzania wapo tayari kupewa?

    Mambo vipi wadau? nimesikiliza hotuba ya mgombea wa c.c.m kiti cha uraisi huko kirumba mwanza leo.................katika hotuba yake amesema amejitahidi kutoa nafasi mbalimbali za maamuzi kwa wanawake wengi kuliko kiongozi yeyote aliyepita...akatoa mifano kama vile mahakimu,mawaziri,manaibu...
  14. faithful

    Wapare na channel ten!

    Wadau mimi naomba kuuliza hivi ukiwa mpare inakuwa rahisi sana kupata kazi channel ten eeh! au ndio sifa mojawapo ya kuajiriwa pale? hebu ona watangazaji wao.......................................salma msangi mziray,semvua msangi,upendo msuya,mcharo mrutu n.k
  15. faithful

    Hodi hodi wana J.F!

    Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze! nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni mtwara.
Back
Top Bottom