watanzania gani wamepata umaarufu katika uongozi ndani ya serikali ya awamu ya nne? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watanzania gani wamepata umaarufu katika uongozi ndani ya serikali ya awamu ya nne?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by faithful, Oct 25, 2010.

 1. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wadau mambo vipi?kabla ya serikali ya awamu ya nne kuingia madarakani kuna watanzania ambao walikuwa hawajulikani kabisa.ila baada ya kushika nyadhifa mbalimbali wamejulikana kwa watanzania wengine!
  baada ya miaka mitano ya uongozi wa serikali ya awamu ya nne kukaribia ukingoni siku chache zijazo tutaanza uongozi wa serikali ya awamu ya tano...............nilikuwa natafakari watanzania gani wamejipatia umaarufu kwa mazuri waliyotenda kwenye uongozi wao ndani ya miaka mitano kiasi kwamba tushauri viongozi wapya watakaoteuliwa/kuchaguliwa waige mfano wao na watanzania gani wamepata umaarufu kwa madudu waliyofanya kwenye uongozi hadi viongozi watarajiwa wajiepushe kufanya madudu hayo!
  hapa naongelea viongozi wa ngazi ya juu serikalini kama vile mawaziri,ma naibu,wakuu wa mikoa na wilaya mameya pamoja na wabunge!
   
Loading...