Nape Nnauye atulizwa, ateuliwa DC Masasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye atulizwa, ateuliwa DC Masasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by faithful, Sep 17, 2010.

 1. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nape nnauye ateuliwa kuwa d.c wa masasi!!!!
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape hongera, lakini simamia haki.
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nilimuona jana jukwaani akipiga bass guiter kwenye kampeni za uchaguzi
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dah! hongera sana Nape.
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  jk bana kwa kupoza machungu!!!!?
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  BADO tAMBWE hIZA NA mSABAHA ;MAMLUKI TOKA cuf!! Wameumizana sana kwemnye kura za maoni sijui atawapoza wangapi kwani wako wengi mno walioumia; ukianzia kwa wakina Kamala mpaka wakina Mwantumu Mahiza na hapo bado wakina Sarungi na wakina makwetta!! Jamaa kazi anayo.
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280

  ...Ok...na DC wa Masasi kapangiwa kazi gani? Kastaafu ama kastaafishwa?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani dada Shy-Rose Bangi asisahaulike jamani!
   
 9. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya? Hii ni mojawapo ya zile kazi Jenerali anaita za kitarishi. By the way, ni nini kazi ya Mkuu wa Wilaya?
   
 10. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  D.C masasi kaenda nyamagana kwa yule aliyefariki...Rugalabamu
   
 11. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Jakaya hawezi kumuacha huyu atampa ubunge wake wa vile viti kumi!!
   
 12. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mtachonga sana

  hongera kaka
   
 13. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Shyrose angebaki tu na kazi yake naamini inamlipa vizuri ajitahidi kuwa hardworking...ukuu wa wilaya ubaya ni kuteuliwa bila taarifa na kuachishwa bila majadiliano....
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280

  Ndo shida ya nafasi hizi za "MAGAZETINI". In and out ni muda wowote.
   
 15. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kiukweli nafurahi kuona vijana wanapewa madaraka makubwa kwani Nape ataingia katika list ya maD.C vijana ninaowajua wakina isack fransis...Fatma Ally,Fatma Mwasa,Sophia Mjema,Erasto Sima na Halima wa kilosa...pia kuna yule dk Norman....wengine siwakumbuki....ila VIJANA HOYEEEEE!!
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhh,

  Sina hakika kama kuna cha kushangilia. Naona ni kama mchezo wa kumtuoia mtoto mwanasesere ili aache kukupigia kelele. Sina hakika kama wakuu walikuwa wanafurahia kukaa kwake mjini!
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nape Nnauye ateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi
  Benjamin Sawe
  Maelezo
  Dar es Salaam
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua ndugu Nape Moses Nnauye kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara.
  Bwana Nnauye amechukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Said Ali Amanzi ambaye amebadilishiwa kituo chake cha kazi na kuhamishiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
  Kabla ya uteuzi huo Ndugu Nnauye alikuwa ni Katibu Msaidizi Idara ya Siasa na Mahusiano ya Kimataifa CCM Makuu Dar es Salaam wakati Bwana Said Ali Amanzi amechukua nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Ndugu Cleopas Rugarabamu ambaye alifariki mwezi Julai mwaka huu akiwa kwenye matibabu nchini India.
  Uteuzi na uhamisho huo unaanza tarehe 10/9/2010.
  Mwisho
   
 18. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  watu hopeful kweli. Kama vile keshakuwa rais
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Uoga tu unawasumbua CCM
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,503
  Trophy Points: 280
  exaktle mchungaji!
   
Loading...