matumizi ya mastaa wa kike bongo!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matumizi ya mastaa wa kike bongo!!!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by faithful, Oct 14, 2010.

 1. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wadau mambo vipi?
  nimesoma gazeti moja pendwa linalotoka alhamisi nikapata hii stori ngoja niwape kwa ufupi
  eti mastaa wa kike bongo wanadaiwa kuwa na matumizi makubwa ya pesa kwa siku ili kulinda umaarufu wao....................hii ni pamoja na kuepuka kupanda daladala,hivyo kutumia gari za kukodi,tax au usafiri wake mwenyewe ambao pia kuna gharama kubwa ya mafuta.gharama za simu na pia gharama za saloon na chakula ambazo pia inabidi achague eneo babkubwa kupata huduma ili kutunza heshima.pia imeongelewa kujirusha viwanja vikali.......
  waliotoa matumizi yao kwa siku moja ni kama ifuatavyo:
  dotnata........laki tatu kwa siku
  aunt ezekiel...laki moja
  ray c...........laki na ishirini
  irene uwoya....mil moja
  jackline wolper...laki tatu
  rose ndauka..laki tano

  binafsi najiuliza je filamu za bongo zinalipa kiasi hiki kwa sasa?!!!!!!!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  duh kazi ipo....na huwa wanaziingiza kama wanavyozitumia?
   
 3. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  si juzi tu hapa walidai mwenye kulipwa sana ktk uigiza anapata sijui milioni 2,sas mtu anapata m2,au laki saba au m1 baada ya miezi mitatu ndo anaigiza tena atapata wapi hizo pesa zote za kutumia kwa fujo hivyo.
  sikubaliani nao,sio kweli hawana uwezo huo.
  kujikweza kusiko na maana.
  dotinata naweza kuamini kuwa ana uwezo huo coz ni mfanyabiashara na haishi kwa filamu.
   
 4. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  irene uwoya alidai analipwa m2 kuigiza filamu nzima kila anapokuja nchini kuigiza,na akija anaweza kukaa hata mwezi,ina maana kila akija anatumia si chini ya m25 lkn analipwa m2,si uongo huo!
   
 5. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mmmhhh umaskini wetu unaanzia hapo ...........
   
 6. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  labda wana hudumiwa na mapedejee!kaka zetu wa jamii forum watusaidie kama huwa nao wakipenda wanahonga hivyo............
  ninavyoona mimi wanaume wa aina hiyo ni wale wa kupita.
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwakweli huu ni upuuzi uliopitiliza huwa wanaingiza kipato cha shilingi ngapi kwa siku kwa nchi kama zetu sidhani kama hao watajwa wako kwenye level hiyo labda watuambie wana dili za maisha mbadala na kazi zao so sad sijui kwanini hatutaki kuinvest akili na nguvu zetu kwenye mambo ya maana
   
 8. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
   
 9. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Star bongo? kaazi kwel kwel Nimeamini kila kizazi na mashujaa wake
   
 10. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawasemi kweli DADA yangu magumashi matupu ukiwakuta kwenye shuting ndo utaujua ukweli wanashinda njaa hawaishi kulalamika juzi juzi nilkuwa Dar Hoteli flani kulikuwa na wauzasura wapo kambini chumba chao na changu vilikuwa mkabala wanateseka sana yani sijui hawana chombo kinacho watetea wasanii jama nchihii balaa tupu hawana pakukimbilia hivi jaribu kuchunguza nguo wanazo vaa kwenye filam mwanzo mpakamwisho wa filam kabadili marangapi ndoupime
   
 11. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wanatia huruma lkn wanashindwa hata kutetewa sbb hawasemi ukweli badala yake wanaficha mateso yao kwa kujipa misifa ya uongo,
  kuna siku nilikua ubongo plaza bank akaingia yule sijui ndo jackline wolper kwa mbwembe zote uzijuazo akawa anagomba kuwa alitaka kuchukua hela lkn atm mbovu imeshindwa kumpa pesa,basi yule teller akammwambia ac yake haina hela na sio tatizo la mashine zao.
   
 12. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Bongo kuna star.??
   
 13. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mafinyufinyu na longolongo tupu, pesa matumizi si tungeona au wanatumia shimoni!!!!
   
 14. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  fix, fix, fix, fix, uongo, uongo, uongo, uongo, kwa jinsi walivyodanya ni dhahili kabisa
  wanafuata ilani ya ccm na utekelezaji wake
   
 15. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahha haha sipati picha alijisikiaje duh!!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
 16. s

  schulstrasse Senior Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtu kama Dotinata yeye si muigizaji tu bali ni mjasiriamali wa siku nyingi saana (mpishi na mpambaji wa maharusi nk), na anajituma,siwezi kushangaa sana matumizi yake, ila kama unategemea uigizaji Tanzania huwezi kuwa najeuri ya kutumia Milion moja au laki tano kwa siku, kwa Avatar ipi uliyoitoa hadi ikuingizie mihela yote hiyo?:biggrin1: hawana lolote choka mbaya tu hao
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  mambo mengine bana.mnataka tutukane tupewe BAN tu hapa
   
 18. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ray C si alishindwa kulipa kodi ya nyumba wakati fulani (mwaka huu) tena alikuwa anadaiwa kati ya laki 4 na 7 hivi, sikumbuki vizuri, deni la muda mrefu !
   
 19. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kuna yule dida naye alifilisiwa na benk kwa kushindwa kulipa m1 na laki 7..............!
  sasa hawa wanatuambia uongo gani huu wa kitoto.......................!
  choka mbaya tu hawa hamna kitu................!
   
 20. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60

  Wanataka waonekane matawi.....kumbe choooka
  Duh mtu anatumia 25M kwa mwezi hukua anaingiza 3M kwa miezi 6/3????
   
Loading...