Wana JF haswaa wadada but na wakaka pia,naomba maelekezo alipo fundi anayesifika jijini Dar es salaam mtaalamu wa kushona mishono ya vitenge ambae sio mswahili wa njoo kesho njoo kesho kutwa.
mi namjua dada mmoja anaitwa Salome anapatkana Mbezi beach jengo la samaki pale kama unapafahamu ukifika kuna frame mbili moja amesmamishwa mdoli kavaa shela uliza hapo bahat mbaya no zake sina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.