faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 34
wadau nimetazama filamu moja ya kibongo inaitwa one by one yaani dhamira ya mwandishi haieleweki haileweki!nikagundua ameitunga cheni anaejiita doctor.inaonekana jamaa hata ile general knowledge ya fasihi hana.ni kama hadithi kumi ndani ya stori moja na hazina mwanzo wala mwisho!
nashauri wasanii wa kibongo wanaopenda kutunga story wapate mafunzo kidogo wasikurupuke!!!!!
watafute japo vitabu vya fasihi wapate utaalamu kidogo,watazame na tamthilia na filamu za nje wajifunze toka kwa wenzao.au utunzi wamwachie shigongo,sultani tamba,chuzi na musa banzi wao wawe waigizaji tu
kinachokera kingine unakuta mtu amelala na mumewe huku wamevaa mataulo ya guest hivi wanashindwa kujua yale ni mapungufu?au kuna watu huwa wanalala na mataulo?