Jamani huyu shemeji kaka nimsemee au nichune tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu shemeji kaka nimsemee au nichune tu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by faithful, Aug 31, 2010.

 1. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wadau mambo yenu?
  mwenzenu niko kikazi kwenye mji fulani,ni miezi 9 sasa.naishi peke yangu. nimetokea kuwa karibu na dada fulani ambae ofisi zetu zipo karibu.mwanzoni tulikuwa tunakuwa pamoja lunch time. baadae ushost ukanoga hadi majumbani kwetu na ulinoga zaidi alipogundua mimi na mumewe ni kabila moja tukawa mawifi tena.na mume mtu nae akawa kaka.
  basi huyu mkaka tangu anijue imekuwa shida akisafiri analeta mizawadi kibao kwangu haswa vyakula na vinywaji na shost anajua na huwa ananiambia kakako anakupenda kweli hawezi kupita siku bila kukutaja jamani...yeye anamwamini sana mumewe na anasema tangu amfahamu hajawi hata kuhisi kama anamwanamke...eti hata kutongoza hajui...........eti nisali sana nipate mume mwema kama wake...huyu shost ni rafiki mzuri tu kwangu na naamini ananipenda.............ila ukweli ni kwamba huyu mumewe tangu siku ya kwanza ameniona ameoyesha kunitamani na kiukweli ananitongoza sana...mara kadhaa ameshakuja home kwangu peke yake akimuwaga mkewe anakuja kumsalimia dada kumbe anakuja kutongoza nimemkemea hadi kumtishia kumsemea kwa mkewe hakomi....hivi juzi tu karudi safari toka wapi sijui kaniletea zawadi za ajabu ajabu ambazo zinafanya nimwone hanielewi......nawaza kumwita mkewe nimshtakie ila nahofia hataniamini au ushost utaisha......................WADAU NAOMBA USHAURI!
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  Infidelity hiyoooooooooooooo


  faithful be faithful aisee!:confused2:

  Sasa nikuulize, zawadi unapokea au hupokei? kama unapokea hiyo inaweza kuwa aone of the green lights kwake

  kama vipi mrudishie zawadi zake, punguza mawasiliano naye mkiwa wawili tu nk...
   
 3. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kiukweli zile zawadi za mwanzo zote nimepokea ila hizi za juzijuzi nimezikataa kwani zilikaa kimahaba sana kupokea ilikuwa ngumu!
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  zawadi za ajabu ni zipi hizo? ni nguo za ndani nini?
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mama ushakuwa mtu mzima mabo mengine ni kuyamaliza kiutu uzima, Baki na msimamo wako wa NO kama ulimaanisha NO. Kumsemea kwa mkewe ni kama kurudi zamani za NITAKUSEMA KWA MWALIMU AU MAMA.
   
 6. KAPERO

  KAPERO Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safari moja huanzisha nyingine!! pale ulipo moyo wako ndipo ilipo nia yako. Nakusihi sana usimuangushe Dhambini!!!. wewe ni msaada sana kwa kaka.. mwambie ukweli ajue umempokea kama kaka yako na umheshimu. pia jilinde sana na uovu kwa huyo shoga yako. maana yawezekana kweli huyo bwana anataka kuanzia kwako hako Kaufataki! mweleze hautakua wa kwanza kubomoa nyumba yake...... sikia mama huyo shoga yako hata akihisi tu. hakika utakoma kumjua.. watu waaminifu wana hasira mbaya sana. na kwakua shoste alisha mwamini sana lazima ataona wewe umemgilibu mumewe.! HOFU HOFUUU!! Tega sikio nikunong ;oneze... wengine wanaishi na vimarekani Maarufu kama Virus vya ile kitu. usije ukawa unawindwa ili muwe wengi. wewe unaamini kweli ukiwa na wako asiye jua kutongoza! ndio umwachie aende kwa mtu anaye mtaja kila siku???!!! utakoma kuwafahamu..... sasa mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utakuja kutujuza ya baadae au/?
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama jina lako lilivyo ''faithful'' ni jibu tosha!
   
 8. m

  manyusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Usijaribu kufanya lolote na mume wa mtu ni hatari na mambo hayo unaweza ukafikiri ni siri siku za mwanzo lakini baada ya muda mfupi si siri na hapo ndo mambo yatakapokuharibikia kwa shoga yako,na mara nyingi utakachomfanyia mtu ndicho utakachofanyiwa kama hujaolewa ukimfanyia mwenzako ubay ukiolewa hilo pia litakupata nakushauri dada yangu achana na huyo bwana kama anazidi mpige marufuku kuja kwako au muhabarishe shoga yako ni bora shoga yako akuelewe vibaya sasa kuliko akigundua unatembea na mume wake hapo anaweza kumwagia hata tindikali.Simama na msimamo wako wa NO
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuwa na msimamo wako thabiti, kumbuka mme wa mtu ni sumu.
  Lakini piga hesabu za risk mambo mengine tunakuachia mwenyewe uamue kumegwa au kukataa.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Just be faithful kama jina lako lilivyo hata kama ukitaka kuchukua hatua za kwenda kumsemea at the end of the day itaonekana wewe ndio unamtaka huyo mwanaume kwahiyo jaribu kutulia na kuangalia utaweza kulimaliza vipi ila tatizo bila kumkwaza shosti wako wala mume wake hizo zawadi ndio kama ndoano, at the same time ingekuwa ni vizuri kupunguza mazoea na jamaa hata kama mke wake atakuwa amekukaribisha kwake strictly nenda kama vile mgeni wa shosti wako and not otherwise nafikiri wewe ni mtu mzima so u'll know how to deal with it.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Well said Fidel80 tupo pamoja akili kichwani
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Huyo shemeji yako hata sijui lakini msimamo wako ndio utasaidia kufanya ndoa ya rafikio iendelee kudumu ..majitu mengine bwana ni tatizo sijui linawaza nini hilo li kaka lako :confused2:
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha watu tunaweza mshauri hivi yeye akaamua vile kwa matakwa yake binafsi, kwa hiyo akili mkichwa..
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Hommie we ungefanyiwa hivyo ungekuwa wema au ukatili...?

  Nimeshaanza kuingiwa na mashaka na uanachama wako. Tutakuita Dodoma kukusaili:confused2::confused2::confused2:
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Hakikisha una ushahidi usiopingika hata kama ni kwa kumrekodi kwa sauti au video, halafu mwambie rafiki yako, akibisha muonyeshe ushahidi.

  Zaidi ya hapo utaonekana mzushi na mchonganishi na unaweza hata kugeuziwa kibao kwamba wewe ndiye unamtaka mume wa mtu.
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  watu mna mahekima sometimes.:becky:
   
 17. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Kuwa makini husivunje ndoa ya watu maana dhambi yake ni sawa na kuchoma moto kanisa au msikiti! Hata kama unatka kumsemea tafuta njia sahihi oherwise utakuwa hujasaidia lolote
   
 18. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Muonye, Akiendelea msemee kwa Mkewe aone JOTO ya jiwe! Wala hakupendi ni tamaa ya mwili tu! Ukimpa anakula halafu atawachanganya wewe na rafiki yako na ndio mwisho wa USHOGA na ndoa. Chunga Fei.
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Mopotezee..... stay away from him
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Au unataka atumie huo msemo kwenye hiyo signature yako hapo chini
   
Loading...