Search results

  1. Bajeti ya kunguru

    Wazee wa betting nimeamua kuwasaidia, siogopi mtu

    Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya. Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze...
  2. Bajeti ya kunguru

    Kwa Jenister Mhagama na Prof. Joyce Ndalichako

    Wasalaam waheshimiwa mawaziri, waziri wa kazi,ajira, vijana na walemavu mh. Jenister Mhagama na waziri wa elimu sayansi na teknolojia mh. Prof. Joyce Ndalichako. Awali ya yote ninayo furaha kutoa pongezi zangu kwenu kwa uteuzi mlioupata, ni kwamba mpaka sasa taifa lina matumaini na mategemeo...
  3. Bajeti ya kunguru

    Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

    Habari zenu wakuu. Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika inaaminishwa Mandela ni zaidi ya Nyerere hiki ni kituko. Kuna hili pia la Chief Mirambo na chief...
  4. Bajeti ya kunguru

    Chanzo cha mapenzi

    Habari zenu mabaharia wote mliomo humu. Mara nyingi mtu akiita mabaharia jinsia ya kike huwa wanajiweka pembeni sasa sio kwa salamu yangu,mimi nimewalenga nyote. Sasa niende kwenye kaburi langu halafu nione kama nitatoka au nitafiamo mazima. Naita kaburi kwa sababu ni kazi ngumu sana kueleza...
  5. Bajeti ya kunguru

    Mambo matatu yanayofanywa na wanawake chumbani ambayo huchangia sana kuniondoa kwenye mood ya kuendelea nao

    Habari zenu humu wana jamvi. Leo nimeamua kuweka wazi humu mambo ambayo wanawake huyafanya tinapokuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi ambayo kimsingi huwa yanachangia pakubwa sana kwa mimi kuamua kuyavunja mahusiano yetu. Kifupi yananikera huwa nina asilimia kama 2% tu ya kuweza kuvumulia...
  6. Bajeti ya kunguru

    Mchango juu ya kilimo cha mahindi kwa uzoefu wangu

    Wakuu heri na amani na iwe kwenu ni matumaini yangu kuwa hamjambo kama mimi. Kabla sijaenda kwenye mada nikiri wazi kabisa kipaji cha kuandika sina ila ninauwezo wa juu wa kusikiliza na kuongea tena bila kipaza sauti,kwa kipaza sauti huwa nashindwa kuongea kwa kiwango nilicho nacho. Baada ya...
  7. Bajeti ya kunguru

    SWALI: Ikitokea umeanza maisha ya mapenzi, ungeanza na msichana/mwanaume uliyeanza nae mapenzi?

    Kwenu wana JF wenzangu, natumatumaini hamjambo. Nimekuja na swali ni dogo na nikubwa kwakuwa kidogo linahisia ndani yake. Swali lenyewe linasema hivi; Endapo ikatokea maisha yako yakaanza upya je upande wa mapenzi ungetamani uanze kuingiliwa/kumuingilia kimwili mpenzi wako yule yule...
  8. Bajeti ya kunguru

    Mambo 8 yatayokuwezesha kumtambua mkeo kama anafanya cheating

    Wana jamvi habari zenu. Mi mwenzenu mzima namshukuru aliyeniwezesha kuwa hivi. Leo nataka kushea nanyi mambo manane ambayo yatakuwezesheni kung'amua kama mkeo kunakitu anakuhadaa. Wanaume wengi huwa tunatamani kubaini mapema kama mkeo kuna kitu anakuficha au anakudanganya kwa namna yoyote ile...
  9. Bajeti ya kunguru

    Ni kweli yametokea

    Wakuu habari zenu. Moja kwa moja naenda kwenye mada. Kuna jamaa alihabarishwa na mkewe kwamba kuna mshikaji anamtokea,basi jamaa kwakuwa anamjua huyo mshkaji anauwezo mzuri kifedha akapanga njama ya kupata pesa akamwambia wife wake amkubalie kisha amjulishe wanaenda kukutana wapi ili mmewe...
  10. Bajeti ya kunguru

    Kwa wazoefu wa kuandaa birthday za wapenzi wao

    Wadau natumaini muwazima wa afya njema Jambo nalotaka kuwauliza ni kwamba nilikuwa nimenuia kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi mpenzi wangu ila bado sijamwambia sasa katika tafakuri yangu nimeiona kalenda ya mwaka huu mwezi february hauna tarehe 29 ambayo ndo tarehe yake ya kuzaliwa.Sasa...
Back
Top Bottom