Wazee wa betting nimeamua kuwasaidia, siogopi mtu

Bajeti ya kunguru

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
1,371
1,041
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.

Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze kurudisha pesa kwenye nchi yako kabla hawajazifunga hizi kampuni.

Jaribu kuwafikiria wachezesha kamari wa mtaani kwako halafu jiulize je huwa wanatengeneza faida au hasara? (Kamari hizi hizi tu za kienyeji). Hakuna kamari duniani isiyokuwa na plan B ya kumnufaisha mchezeshaji. 360 Betting mmiliki wa odds anayeuza kwa kampuni zingine ndogo ndogo. Sielezi mengi kuhusu huyu lakini umjue Kama ndiye mmiliki wa kompyuta mama ya dunia nzima inayohusu betting.

Kazi kubwa ya kompyuta hii ni kujulisha timu gani imeaminiwa na wengi kuwa itashinda au vinginevyo, kumbuka ni across the world ahahaahaa😄.Sasa ili kuwanufaisha wateja wanao nunua odds yeye anashirikiana na nani kuelekeza matokeo kwenye sehemu isiyowaumiza wateja wake? Je nini ufanye?⏱️
MNANIELEWA?

Nakuja.

MAGUFULI4LIFE.
 
Sasa kauzi hakana content utaogopaje mtu? Umeandika ukiwa umepaliwa konyagi?.
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.

Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze kurudisha pesa kwenye nchi yako kabla hawajazifunga hizi kampuni.

Jaribu kuwafikiria wachezesha kamari wa mtaani kwako halafu jiulize je huwa wanatengeneza faida au hasara? (Kamari hizi hizi tu za kienyeji). Hakuna kamari duniani isiyokuwa na plan B ya kumnufaisha mchezeshaji. 360 Betting mmiliki wa odds anayeuza kwa kampuni zingine ndogo ndogo. Sielezi mengi kuhusu huyu lakini umjue Kama ndiye mmiliki wa kompyuta mama ya dunia nzima inayohusu betting.

Kazi kubwa ya kompyuta hii ni kujulisha timu gani imeaminiwa na wengi kuwa itashinda au vinginevyo, kumbuka ni across the world ahahaahaa.Sasa ili kuwanufaisha wateja wanao nunua odds yeye anashirikiana na nani kuelekeza matokeo kwenye sehemu isiyowaumiza wateja wake? Je nini ufanye?
MNANIELEWA?

Nakuja.

MAGUFULI4LIFE.
 
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.

Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze kurudisha pesa kwenye nchi yako kabla hawajazifunga hizi kampuni.

Jaribu kuwafikiria wachezesha kamari wa mtaani kwako halafu jiulize je huwa wanatengeneza faida au hasara? (Kamari hizi hizi tu za kienyeji). Hakuna kamari duniani isiyokuwa na plan B ya kumnufaisha mchezeshaji. 360 Betting mmiliki wa odds anayeuza kwa kampuni zingine ndogo ndogo. Sielezi mengi kuhusu huyu lakini umjue Kama ndiye mmiliki wa kompyuta mama ya dunia nzima inayohusu betting.

Kazi kubwa ya kompyuta hii ni kujulisha timu gani imeaminiwa na wengi kuwa itashinda au vinginevyo, kumbuka ni across the world ahahaahaa😄.Sasa ili kuwanufaisha wateja wanao nunua odds yeye anashirikiana na nani kuelekeza matokeo kwenye sehemu isiyowaumiza wateja wake? Je nini ufanye?⏱️
MNANIELEWA?

Nakuja.

MAGUFULI4LIFE.
Kuna ukweli unausema ila kuna mambo huna utaalamu nayo tafadhali ni afadhali usiyazungumzie. Eti kompyuta mama.
Naunga mkono hoja kuhusu betting kuwafanya vijana wengi wasiendelee. Bora kunywa bia
 
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.

Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze kurudisha pesa kwenye nchi yako kabla hawajazifunga hizi kampuni.

Jaribu kuwafikiria wachezesha kamari wa mtaani kwako halafu jiulize je huwa wanatengeneza faida au hasara? (Kamari hizi hizi tu za kienyeji). Hakuna kamari duniani isiyokuwa na plan B ya kumnufaisha mchezeshaji. 360 Betting mmiliki wa odds anayeuza kwa kampuni zingine ndogo ndogo. Sielezi mengi kuhusu huyu lakini umjue Kama ndiye mmiliki wa kompyuta mama ya dunia nzima inayohusu betting.

Kazi kubwa ya kompyuta hii ni kujulisha timu gani imeaminiwa na wengi kuwa itashinda au vinginevyo, kumbuka ni across the world ahahaahaa😄.Sasa ili kuwanufaisha wateja wanao nunua odds yeye anashirikiana na nani kuelekeza matokeo kwenye sehemu isiyowaumiza wateja wake? Je nini ufanye?⏱️
MNANIELEWA?

Nakuja.

MAGUFULI4LIFE.
Sijaelewa, hiyo kutoogopa mtu imefuata nini hapo kwenye title?
 
Anachomaanisha nadhani ni ile Wao wanaochezesha hii michezo wanaona mapema kabisa kwamba timu fulani imepewa ushindi kwenye mikeka mingi so wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo ili wasipate hasara.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
hakuna chochote unacho fahamu kuhusu betting bwana mdogo kwanza uandishi wako tu una onesha ni jinsi gani ulivo mwepesi kweny unayo ya andika
 
Back
Top Bottom