Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
Muziwanda ni mtoto wa mwisho kuzaliwa. kwa wagogo yeye ndio mrithi anaefwata baada ya baba kufa.
si wagogo Tu! wenye huu utamaduni wa kuwapa pawa watoto wa mwisho hata jamii zingine nje ya afrika wana huu utabaduniunaoitwa wa ultimogeniture (mfumo wa urithi ambapo mtoto wa mwisho kuzaliwa ndiye...
Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake.
Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo tunawaita Mashujaa kuwa ni wahaini au magaidi?
Nadhani wakati huo CCM ingempa nishani ya uzalendo na...
👉Iringa si mkoa wa kawaida katika historia ya Tanzania. iringa ni ardhi iliyobeba mizizi ya kwanza ya ujasusi wa kizalendo na mbinu za vita vya kimkakati.
👉Misingi hiyo iliwekwa na mmoja wa viongozi mahiri zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki, Chief Mkwawa wa Wahehe.
👉Chief Mkwawa...
Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha,ndo ninavyoweza kusema kwani hata kipindi akina Nyelele wanapigania uhuru baadhi ya Watanganyika waliwaona kama wana fujo kwani walikuwa wananufaika na uwepo wa wazungu.
Ipo siku Mwamba huyu mwenye akiri kubwa hata ya kuweza kusoma report nchi nzima badala ya...
LEO SIKUKUU YA MASHUJAA: MTWA ABDALLAH MKWAWA WA KALENGA (1855 - 1898)
Makala hiyo hapo chini ni nyongeza ya makala fupi ilyoandikwa na kijana mmoja kumuadhimisha Mtwa Mkwawa.
Makala hii ndiyo iliyonishawishi kunyanyua kalamu:
Bismillah...
Naomba niongeze taarifa kidogo katika historia ya...
harakati za mkwawa zilikua ni kukamata himaya moja baada ya nyingine na kuifanya yake. na alizikamata kwa nguvu. inshort alikua mkoloni na na yeye kwa makabila ya jirani. Hakupanga kuacha, mpaka alipokutana na mjerumani.
Tunapozungumzia Mkwawa, mara nyingi tunamwona kama shujaa wa kitaifa kwa...
Wengi tumekua na kuambiwa na kusoma ya kwamba chifu wa kabila la Wahehe Chifu Mkwawa aka Mkwavinyika Mwamuyinga baada ya kuzidiwa katika vita yake ya mwisho dhidi ya Wajerumank basi alijiua.
Ukweli ni kwamba hakujiua.
Wakati huu wa mwisho vikosi vya Wahehe vilikuwa taabani baada ya jeshi la...
Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani.
Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue.
Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
Adam Sapi Mkwawa alishika Uspika mara mbili, kwa anayejua kwa nini atusaidie.
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya alishika miaka 2 tu baadae Adam akaja kushika tena.
Habari za muda huu wana JF,
Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb anipe maelekezo kdg kuhusu hizi simu upande wa mtandao na pia nawezaje kupata battery lake iwe Dar es...
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu...
Habari zenu wanaJF
Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa.
Nini kilitokea
Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
habari zenu wakuu , moja kwa moja kwenye mada , siku ya jumapili nilipata nafasi ya kumtembelea mzee mmoja mstaafu maarufu sana hapa Iringa . Mzee huyu yeye alikuwa mwalimu ambaye enzi za utumishi wake alipata nafasi ya kufundisha katika shule mbali mbali hapa Iringa kama vile kleruu , mawelewe...
Multiple Positions at Mkwawa University College of Education (MUCE) June, 2022
The Mkwawa University College of Education is a constituent college of the University of Dar es Salaam in Iringa, Tanzania. The College was established in 2005 following the upgrading of the former Mkwawa High School...
RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898
Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim majina yao yanafahamika.
Majina haya yamefahamika kwa sababu mtoto wa mmoja wa hawa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho.
Ameyasema hayo mkoani Iringa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.