Ni kweli yametokea

Bajeti ya kunguru

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
1,371
1,041
Wakuu habari zenu.

Moja kwa moja naenda kwenye mada. Kuna jamaa alihabarishwa na mkewe kwamba kuna mshikaji anamtokea,basi jamaa kwakuwa anamjua huyo mshkaji anauwezo mzuri kifedha akapanga njama ya kupata pesa akamwambia wife wake amkubalie kisha amjulishe wanaenda kukutana wapi ili mmewe akafunanie wapige hela.

Mambo yakaendelea mke kamjulisha mmewe kwamba wanaelekea guest house fulani.mwenye mke akaanza kujiandaa kwa fumanizi kachukua panga na kisu akaona ampitie na rafiki yake wa karibu waongozane hakuishia hapo akampitia na balozi wakaenda eneo la tukio.

Wanafika wanakutana mkewe ambaye hakujua kama mmewe ameongozana na watu wengine yule mke akamwambia mmewe akimshutumu kwamba 'sasa na wewe umechelewa wapi mpaka tumemaliza na jamaa ameshaenda' mme akawa niwakuchekwa mpaka sasa ila wanaishi pamoja.sasa sijui huwa wanatizamana vipi na mkewe.

Hili tukio nilakweli na hao watu nimeoneshwa kwa macho yangu.Nini mtazamo wako juu ya mke wa mshkaji kama wewe ndio mme ungeendelea kuishi na huyo mke.
 
haaa!! hii kali ya mwaka mume kachelewa kufanya fumanizi kakuta watu washamaliza asee kaaazi kweli kweli
 
haaaaa.....mwambie warudie tena na asichelewe sasa ili mambo yaende sawa.....

hivi siku hizi watu hawajui thamani ya ndoa zao......kabisa yani unamruhusu mkeo afanye uzinzi kisa pesa......
 
jamaa ni dakika moja tu kamaliza?
wafumaniaji wamechukua dakika tano?
 
Eti MO11 unaenda guest mkeo nakuambia jamaa kamaliza, swali la kwanza kamaliza nini??
 
Last edited by a moderator:
haaaaa.....mwambie warudie tena na asichelewe sasa ili mambo yaende sawa.....

hivi siku hizi watu hawajui thamani ya ndoa zao......kabisa yani unamruhusu mkeo afanye uzinzi kisa pesa......

wanasema ukitaka kufumania uwe na kifua na usipige kelele kama unampenda umfumaniae sasa imagine wamepanga fumanizi mume na mke akili zao fyatu pili wamefika mambo yashaisha aibuuu sipati picha huko ndani ya nyumba wanaishije na wanaangaliana vip ndoa bana watu siku hizi wanachukulila fasheni sana kwanza ningekua mimi ndo huyo dada sikubali kuvu nguo zangu japo najua mume yu njian aja halaf kitendo cha mume wangu kunikubalia na kuniambia nimkubali huyo baba tukapange fumanizi kingenipa mashaka kabisa.......................rizik hupana mungu tuna haraka tu na tama.
 
Ningeendelea kuishi nae na tungeteka mtego mwingine na hapa huyu mgoni angelia machoz
 
ahahahahahahahahha najaribu kuwaza humo ndani ya chumba walianzaje had wakamilza within dakika moja aseee

Mwenyemke alienda kumpitia rafiki yake baada ya hapo akaenda kumpitia na balozi.naona ndipo alipochelewa halafu huwa tunamjadili sana mwanamke kwamba aliamua kumfanyizia mmewe kwamba alishindwa kumlaghai laghai jamaa ili mmewe awakute
 
Hiyo ndo raha ya kutokuwa na nguvu za kiume, we unapanda unamaliza fasta kama jogoo!
 
Back
Top Bottom