Habarini,
Kama mjuavyo asilimia 57 ya wapiga kura ni vijana ambao kwa hesabu za haraka 50% watampigia kura Lowassa na hao 7% hawaeleweki. Ili kupata ushindi Rais anatakiwa awe na kura zaidi ya 50%, kwa kuangalia orodha ya Tume inaonesha wengi ni wapiga kura wa Lowassa, wanatarajia Lowassa...
Habarini wanajamvi,
Nikiwa Mtanzania kama walivyo wengine nami niliitikia wito wakujiandikisha kwenye daftari kwa ajili ya kitambulisho cha taifa.
Ni miaka miwili sasa imepita toka nijiandikishe lakini sijawahi fanikiwa kupata kitambulisho kwani sijapigwa picha.
Nimekuwa nikitembelea kituo...
Habari wanajamvi, kwa hali ilivyo kwetu sisi wafanyakazi hasa sisi wakipato cha chini, maisha yetu yanazidi kuwa magumu. Nimejitahidi kumtumikia kafiri miaka 7 sasa huku nikisave kila mwezi lakini hadi leo mil 10 sina, kila siku linazuka jipya na uchumi unaporomoka in short ajira hainisaidii...
Poleni na Majukumu wana JF,naandika waraka huu kuelezea masikitiko yangu kwa CRDB. Kwanza kabisa,mtandao wenu wa ATM ni korofi sana,na mara nyingi ATM zenu zinakuwa hazina pesa hata kama hiyo ATM ipo kwenye tawi,mfani pale brach ya Mlimani city pana ATM kama sita hivi na utakuta ni ATM moja tu...
Habari wanajamvi;poleni na majukumu. Naandika ujumbe huu kwa masikitiko maana ndugu zetu walemavu wametegwa na mradi huu mpya. Ukiangalia mradi huu kuanzia Posta hadi Kimara hakuna hata mahali panapo mruhusu mlemavu kuvuka. Chukulia mfano mlemavu anakaa kati ya vituo viwili vya mabasi sema...
Nimekuwa nikijiuliza binafsi kujua hasa kwa nini waTanzania tuliowengi hutembea na kutumia diary za miaka ya nyuma, mfano kuna maelfu ya waTanzania hadi leo tunatumia diary za mwaka 2010-2012.
Je mipango yetu bado ipo juzi na jana wakati tunaishi leo?
Au ndo hatuna utamaduni wa kujipangia...
Hi
Due to the challenges facing our Nation, we as Engineers have decided to give what we learn in school back to our fellow Tanzanians by providing them with fast and reliable services in electrical, electronics and telecommunication field...
We are offering the following services
1. Electrical...
eofrey Nyang'oro, Iringa
MAPADRI wawili wa Kanisa Katoliki Parokia ya Isimani, Jimbo la Iringa, wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, kutokana na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kuwajeruhi kwa silaha za jadi na bunduki, baada ya kuvamia nyumba wanazoishi...
habari wana jamvi,kw wale wakazi wa Dar watumiayo morogoro road polen kwa foleni.
Nimeguswa kuandika hoja hii kutokana na yale niyaonayo kwa macho yangu.
kwanza, matumizi ya malighafi.pita uone jinsi zege lilivyotupwa,jinsi matofali yalivyo vunjwa bila tija.uthibitisho upo kipande cha kimar...
habari wanajamvi..nikiwa kama graduate katika fan tajwa hapo juu ninaomba kwa yeyote mwenye access na kaz zihusishazo field yangu anisidie.
kuhusu experience ipo nitaweza kutuma CV kwa yeyote atakayehitaj....
KWA wakazi wa Dar es Salaam, mawingu yanapotanda angani na kutengeneza giza ambalo huashiria mvua, kwao huwa ni jambo la kawaida na pengine ni ahueni kwa karaha za joto kali. Lakini kwa wakazi wa mkoa wa Rukwa, ikiwemo hasa Sumbawanga, dalili ya mvua inayoambatana na radi ni tishio la...
benki ya Dunia imedhamini mchakato wa kukwapua tani kibao za udogo unaodaiwa kuwa umeharibiwa na viwatilifu,hivyo haufai kwa matumizi ya binadamu. katika mchakato huo udogo huo ambao umejazwa kwenye mifuko maalumu utasafirishwa kwenda ulaya kwa ajili ya kuteketezw...
hivi Tanzania hatuwezi...
sitaki kuwakumbusha wadau juu ya mauaji ya kikatili juu ya Mwangosi bali ni kutaka kuhoji na kufaham kwa kirefu zaidi....nauliza sasa CAMERA YA MWANGOSI IKO WAPI? pengine tungeweza ona mengi
WASWAHILI siku zote
husema hujafa
hujaumbika! Ukweli wa
usemi huu unatimia
unapomwona mtu
huyu.
Ungemwona miaka 13
iliyopita ungeshangaa,
lakini leo mtu aliyeitwa
mstaarabu, bondia wa
kutegemewa na mcheza
twist wa ukweli, Nyakua
Nyakitita amebadilika
kweli.
Mtu ambaye alikuwa...
WASWAHILI siku zote
husema hujafa
hujaumbika! Ukweli wa
usemi huu unatimia
unapomwona mtu
huyu.
Ungemwona miaka 13
iliyopita ungeshangaa,
lakini leo mtu aliyeitwa
mstaarabu, bondia wa
kutegemewa na mcheza
twist wa ukweli, Nyakua
Nyakitita amebadilika
kweli.
Mtu ambaye alikuwa...
WATU wanaodhaniwa
kuwa ni majambazi
wamevamia na kutumia
mbinu za uhalifu wa
hali ya juu na kupora
magunia ya fedha
kutoka Benki ya
Biashara ya Afrika
(CBA), iliyopo barabara
ya Nyerere, jijini Dar es
Salaam.
Tukio hilo linaloweza
kufananishwa na filamu
za kimafia, lilitokea
jana...
MAHAKAMA Kuu Kanda
ya Dar es Salaam,
imetupilia mbali
maombi ya Shirika la
Umeme Tanzania
(Tanesco) kutaka
isitishe utekelezaji wa
malipo ya Sh96 bilioni
kwa Kampuni ya Kufua
Umeme ya Dowans
kutokana na kuvunja
mkataba wa kibiashara
kinyume na sheria.
Kufuatia uamuzi huo,
Tanesco...
palipotoke mauaji ya kamanda mwangosi,tume ya wahariri ilito mwongozo kwa vyombo vyote vya habari kususia habari za jeshi la polisi,lakini hawa TBC wapo bize kuwa uzisha sura polisi.
Je TBC,hamfuati miongozo ya wahariri wenzenu? Au na ninyi ndo walewale?
MAZISHI ya Mwandishi wa Habari, Daud Mwangosi yalifanyika jana katika Kijiji cha Busoka kilichoko wilayani Rungwe, Mbeya na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.